Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

CCM wanapambana na wakati, wakati huamua hatima yoyote ile... fate ipo kwenye muda na muda haudanganyi... 2023 siyo 1983. makosa wanafanya watawala na bado wanataka muda uwachekee NEVER. This regime will be fated to end badly.
 
Yana mwisho haya.

Mbowe kesi ya Ugaidi, Mwabukusi Uhaini.

TLS iko kimya, kuna faida gani ya kuwepo TLS?
Mkuu
TLS ilianza kubanwa kwa kuundiwa kamati ya maadili ya mawakili ambayo ina nguvu kuliko TLS yenyewe.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni DPP

Unategemea watasema nini zaidi ya kuanza kupambania members wake mahakamani?
 
Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo

View attachment 2716062
DPP anayo nafasi ya kujiepusha na kikombe hiki kwa kuikataa hii hati ya mashitaka.

Ila kama ni network moja na mfumo mmoja, namuonea huruma Mama Samia anaingizwa chaka na anayengewa chini hadi kwa tuliomuunga mkono.

Hata ile tume ya haki jinai haijamaliza kazi Polisi wanaleta huu upumbavu, mama asikubali kuingiziwa huu mkenge na Polisi waliokosa elimu.
 
DPP yupi kwani? Huyo ambaye wskati wa kesi ya kuhoji tafsiri ya Mkataba wa DPW aliamua kuunda kesi pembeni ili kumvua Mwabukusi uwakili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…