Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mungu alivushe taifa salama.
Hapa tulipo si pazuri. Misuli inatumika dhidi ya raia.

Ukihoji ama kukosoa unaundiwa zengwe ili ufe
kuhoji ni kusema tutamtoa rais madarakani kwa maandamano yasiyo na mwisho? Hakuna anayewasupport wapumbavu km nyie, tunataka amani na maendeleo siyo watu wa kutuvuruia nchi yetu wakitumiwa na vibaraka vya nje.
 
DPP ndiye kawatuma waunde mashitaka hayo.
Ndogo maana tuna angalia kwa makini chain yote.

Kwa kawaida linalojamba ni tumbo, ila pale unapotokea mlio wa ushuzi ni spika tu.

Kwahiyo kwenye ushuzi huu msiangaike na kijambio, tafuteni tumbo liko wapi?

Na kama tumbo halipo Magogoni au Chamwino tunamtaka mama aoneshe kwa vitendo kukataa na kujitenga na ushetani huu kabla hatujaingia kwenye mafungo na kumuomba Mungu atumalizie huu ugomvi.
 
Back
Top Bottom