Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Elewa matumizi ya neno mbonaMbona akina Hanspope hawakunyongwa au Sheria zimebadilika?
cc: Pascal Mayalla
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa matumizi ya neno mbonaMbona akina Hanspope hawakunyongwa au Sheria zimebadilika?
cc: Pascal Mayalla
Wewe kaa kimya utachezea makofi usione yanatoka wapiHawa na watakaofuata wanakula 9 kavu kama uamsho .huwezi kuchezea amani ya nchi halafu uchekewe pumbavu.
Ndio huo wameandika uhaini, lazima file liende kwa DPP ndiye anayetowa kibali cha kesi kwenda mahakamani.Ripoti ya Uchunguzi/ Upelelezi
Hao waliowashauri kuwafungulia hiyo kesi wanakijua vizuri hicho walichokifanya? Inaonekana aliyeshauri kusainiwa Mkataba na DP World ndiye huyuhuyu aliye frame hizi charges.
Unajua maana ya uhaini?Nani ametaka kupingua Nchi?
Akili yako ni ndogo sanaHawa na watakaofuata wanakula 9 kavu kama uamsho .huwezi kuchezea amani ya nchi halafu uchekewe pumbavu.
Mkuu hao walio kamatwa hawaku tambua hili.[emoji28][emoji28][emoji28]
Pamoja na mfumo huu mbovu, huyo DPP kamwe hawezi akapitisha hizi chargesNdio huo wameandika uhaini, lazima file liende kwa DPP ndiye anayetowa kibali cha kesi kwenda mahakamani.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Nisome ueleweNdio kila mtu anashangaa......yaani Tuhuma zilianza mwanzo kabla watu hawajatenda kosa[emoji28][emoji28] kutoka bandari hadi Uhaini.
Sidhani kama kuna mtu ataelewa
Wapi amepingua Nchi na lini? Mnabambika watu makesi ya ajabuUnajua maana ya uhaini?
Babu aliniasa! Usioe nyumba inayoongozwa na Mwanamke!DPP anayo nafasi ya kujiepusha na kikombe hiki kwa kuikataa hii hati ya mashitaka.
Ila kama ni network moja na mfumo mmoja, namuonea huruma Mama Samia anaingizwa chaka na anayengewa chini hadi kwa tuliomuunga mkono.
Hata ile tume ya haki jinai haijamaliza kazi Polisi wanaleta huu upumbavu, mama asikubali kuingiziwa huu mkenge na Polisi waliokosa elimu.
Hebu katafute basha MMU, acha kudandia wanaume ambao wako serious,We nawe akili NDOGO kumbe tafakari kwanza kabla ya kuandika,
Wewe ni mmoja ya watu wenye akili ndogo kweli kweli. Ma-idiot kama wewe ndiyo mmeshusha viwango wa JF. Yaani kila unachochangia ni kama uharo. Wapigwe virungu wana makosa gani? Kwa nini karne hii bado unaamini kwenye binadamu kupigana virungu kwa sababu ya kukosoa uongozi!Hakuna jipya, yote ya zaman, bora wangewaacha waandamane wawapige virungu
Yani umkumbuke shetani kisa upepo jini?You will remember me by John Magufuli.
Kwa hilo hapana aiseeYou will remember me by John Magufuli.
Hivi mnadhani ile ziara ya kagame ilikua ya burebure?DPP anayo nafasi ya kujiepusha na kikombe hiki kwa kuikataa hii hati ya mashitaka.
Ila kama ni network moja na mfumo mmoja, namuonea huruma Mama Samia anaingizwa chaka na anayengewa chini hadi kwa tuliomuunga mkono.
Hata ile tume ya haki jinai haijamaliza kazi Polisi wanaleta huu upumbavu, mama asikubali kuingiziwa huu mkenge na Polisi waliokosa elimu.