Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Imenishangaza sana, bado tunaendelea kupitia na kuchambua ripoti ya haki jinai! Leo tena tunasikia haya?DPP anayo nafasi ya kujiepusha na kikombe hiki kwa kuikataa hii hati ya mashitaka.
Ila kama ni network moja na mfumo mmoja, namuonea huruma Mama Samia anaingizwa chaka na anayengewa chini hadi kwa tuliomuunga mkono.
Hata ile tume ya haki jinai haijamaliza kazi Polisi wanaleta huu upumbavu, mama asikubali kuingiziwa huu mkenge na Polisi waliokosa elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app