Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mimi na Magu kitu kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM yako wanajali uchumi kuyumba au ni wewe unawatahadharisha bila hiyana ?Taarifa za Uhaini zikieneaga Uchumi unayumbaga ujue
Kama chanzo cha huo mwanga mnaufunika kwa guo zito lazima giza ulione.Kuna wakati nliona giza ghafla nikaona mwanga nasikitika giza tena limetanda...................
Ni DPP huyo huyo ndio amemshitaki Mwabukusi kwenye Kamati ya nidhamu ya Mawakili wanataka Mwabukusi afutwe uwakili na yeye DPP ni mjumbe wa Kamati.Pamoja na mfumo huu mbovu, huyo DPP kamwe hawezi akapitisha hizi charges
Amri imetoka kwenye kiti cha enzi.DPP anayo nafasi ya kujiepusha na kikombe hiki kwa kuikataa hii hati ya mashitaka.
Ila kama ni network moja na mfumo mmoja, namuonea huruma Mama Samia anaingizwa chaka na anayengewa chini hadi kwa tuliomuunga mkono.
Hata ile tume ya haki jinai haijamaliza kazi Polisi wanaleta huu upumbavu, mama asikubali kuingiziwa huu mkenge na Polisi waliokosa elimu.
Kama hii ndio kazi ya Tiss basi wapo very low standard.Safi kabisa. Ngoja wahangaike nayo hayo tupumzike matusi yao. Nchi inakuwa kama haina watu wenye busara. Kila siku mitusi ya Mdude tu.
Hizo ndiyo kazi za TISS sasa
Narudia tena dawa yao ni kuchinja tu, kila mhaini achinjwe hadharani watu wakishuhudia,Mkuu unaongea kama vile Rais ni Baba yako.
Hahaha
Yaani Mwabukusi na Mdude wapindue Nchi??? Kweli kabisa!!!! Mi Mdude Azam wakiandaa Pambano,havuki round ya nne,nishamkalisha!Sijawahi kuelewa ni kwa nini Jeshi la Polisi lilishaonyesha udhaifu wa kiwango hiki kutompuuzia mdude nyagali. Linampaisha kila siku hata itafika wakati wakati mdude atageuka kuwa gumzo katika historia ya nchi hii.
Tangu 2015 wanahangaika naye lakini hawajawahi kumtia hatiani, bado hawajifunzi?
Duh..
wanataka kutesa watu bila sababu na kumvuia huyu Mwabukusi kwenda kukata rufaa, serikali mnamfanyia nini huyu mtu, acheni uonevu. Ulingo sawa, haki sawa katika uwanja wa sheria ndio unaotakikana, mwacheni aende akate rufaa na mshindane na mshinde kwa haki, ya nini kumsumbua bila mpango? Acheni dhulumati, chondechondeMbona akina Hanspope hawakunyongwa au Sheria zimebadilika?
cc: Pascal Mayalla
Mkuu, yule aliyeshitaki kwenye kamati ya nidhamu ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Elieza Feleshi, wakati DPP wa sasa ni Sylvester Mwakitalu.Ni DPP huyo huyo ndio amemshitaki Mwabukusi kwenye Kamati ya nidhamu ya Mawakili wanataka Mwabukusi afutwe uwakili na yeye DPP ni mjumbe wa Kamati.
Na safari ya Dar Mwabukusi ulikuwa anakuja kujibu hoja za DPP huyo huyo ambaye amemshtaki kwenye Kamati ya nidhamu.
Lisu alishatuambia leo utakaa kimya kwa sababu siyo wewe, lakini siku yako yana Italia na kusaga meno.
Lazima Tanganyika itolewe sadaka ya damu ndio tutaheshimiana.
Niliwahi andika thread kuhusu hili Magufuli angali hai! Nilisema CCM inapambana na wakati na haitoshinda!CCM wanapambana na wakati, wakati huamua hatima yoyote ile... fate ipo kwenye muda na muda haudanganyi... 2023 siyo 1983. makosa wanafanya watawala na bado wanataka muda uwachekee NEVER. This regime will be fated to end badly.
Yaani kosa na dhambi kubwa aliyo ifanya Mh. Rais Samia ni kuwapa madaraka wahuni walio fanya kazi kwa ukaribu na JPM hawa waliiharibu nchi kwa matendo yao ya kihuni.CCM wanapambana na wakati, wakati huamua hatima yoyote ile... fate ipo kwenye muda na muda haudanganyi... 2023 siyo 1983. makosa wanafanya watawala na bado wanataka muda uwachekee NEVER. This regime will be fated to end badly.
Sio uvumilivu sema usaniisamia uvumilivu umemshinda
Umekwenda mbali San kiyagataHivi mnadhani ile ziara ya kagame ilikua ya burebure?
Kuna mtu alikuja kupewa semina elekezi.
DPP tayari ana ugomvi binafsi na Mwabukusi, sasa katika mazingira haya nadhani TLS kama IPO kweli wasimame wahesabiwe, nchi haiwezi kuendesha hivi kama Banana Republic na Kangaroo court.Kwamba ni Uhaini au Uchochezi anayetafsiri ni DPP siyo Polisi
DCI anapeleka Taarifa ya Uchunguzi ikiwa imesheheni data zote zikiwa ghafi
DPP ndio anazitafsiri na kuandaa Hati ya Mashtaka pamoja na Ushahidi na Mashahidi atakaowahitaji mahakamani
Ni kweli maana wawekezaji wanaogopa machafuko yanakaribi.Taarifa za Uhaini zikieneaga Uchumi unayumbaga ujue