Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Je akina Hanspope, Lugangira, Eugene Maganga, Capt Kadego etc mwaka 1983 walikuwa na silaha gani walipotaka kumpindua Julius Nyerere?

Halafu na wewe Msanii baada ya kula makande na kuvuta bangi chooni unajiona una akili
Walikuwa na jeshi ndani ya mipango yqo ya mapinduzi.
 
The coup is really knockin indoors and it shall be executed by the unexpected mission details.......................

Uonevu uliokithiri umejidhihirisha tayari na Mungu ataamua very soon
Mungu anaratibu anguko la CCM...

Yaani kuna jambo linakuja tena wanaolisababisha ndo hao hao wanaoaminika.

Nilisema last week hapa kuwa akina Mwabukusi wanaundiwa kesi ya Uhaini. Sina insider wala close to but ktk maono yangu mimi kipofu nimeona.


Serikali izingatie ulinzi wa umma.kwa sababu magaidi wasioipenda nchi wanakusudia kutuumiza. Iachane na kuwasumbua wanaharakati bali waimarishe intelejensia mipakani na hao wageni wanaoingia bila kukaguliwa
 
Hakuna dhamana na hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa!
Blood diamond movie!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkipewa uhuru utumieni vizuri,siyo unabwatuka tu,huko ndiyo kuangukiwa na Dola..kuanzia Leo tazama nyuso za wahubiri wa 'bandari kauziwa mwarabu milele, mzanzibar anaiuza Tanganyika, watanganyika tuamke'.... Tanganyika!?..mbuzi nyie!!
 
Walikuwa na jeshi ndani ya mipango yqo ya mapinduzi.
Mpaka uwakamate na ufanye uchunguzi. Sasa hawa nao waache wapite kwenye mchakato huo. Hii nchi imesharauliwa sana na akina Mdude
 
The coup is really knockin indoors and it shall be executed by the unexpected mission details.......................

Uonevu uliokithiri umejidhihirisha tayari na Mungu ataamua very soon
Mkuu hii siyo banana Republic, ni nchi yenye vyombo vyake vya dola. Kabla hujafanya unachotaka kufanya utakuwa umedakwa.
 
Nilijua mapema tu kuwa nia yenu si kupinga bandari kama bandari bali mna lenu tu, nalo ni chuki dhidi ya dini ya anayeongoza nchi sasa! Taratiiibu unafiki unakaa pembeni, ukweli unajidhihirisha.
 
Back
Top Bottom