Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mkuu, yule aliyeshitaki kwenye kamati ya nidhamu ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Elieza Feleshi, wakati DPP wa sasa ni Sylvester Mwakitalu.
Wanyakyusa wote hao mwabukusi na mwakitalu ingawa mwabukusi Ana akili sanaa
 
DPP tayari ana ugomvi binafsi na Mwabukusi, sasa katika mazingira haya nadhani TLS kama IPO kweli wasimame wahesabiwe, nchi haiwezi kuendesha hivi kama Banana Republic na Kangaroo court.

Mama anajikaanga kwa mafuta yake, hata tuliomkubali baada ya yule shetani wa Chato kutwaliwa kuzimu sasa tutaacha kumuunga mkono na tutaandaa vichio vya kufanya uhaini kwenye sanduku la kura.

Uhaini wetu ataujuwa 2025.
Bora shetani magu Mara Mia Ni mzalendo kuliko hiki kimama ako mnafiki na muongo
 
kuhoji ni kusema tutamtoa rais madarakani kwa maandamano yasiyo na mwisho? Hakuna anayewasupport wapumbavu km nyie, tunataka amani na maendeleo siyo watu wa kutuvuruia nchi yetu wakitumiwa na vibaraka vya nje.
Mbona Kenya maandamano sio uhaini, mtu akisema kesho ntaplani nikuibie ng'ombe wako,atakua kakuibia tayari? Na mahakamani atahukumiwa kakwibia ng'ombe wako kwa kauli ile??
 
Yana mwisho haya.

Mbowe kesi ya Ugaidi, Mwabukusi Uhaini.

TLS iko kimya, kuna faida gani ya kuwepo TLS?
TLS pia huyo muhaini anayo kesi ya kimaadili ya kujibu na kwa kiasi kikubwa uwakili wake utakomeshwa pasina wasi.
 
Bora shetani magu Mara Mia Ni mzalendo kuliko hiki kimama ako mnafiki na muongo
Shetani na jini yote ni mapepo tu, hakuna cha uzalendo kwa muuwaji.

Ccm ni Chama kilicholaaniwa na Mungu mwenye enzi, ila mwisho wao umekaribia.
 
Makaburu weusi mmeshindwa kujificha
Hata wewe ni kaburu kama unaruhusu watu wachache kutuletea taharuki nchini. Mumepewa mikutano ya siasa na uhuru wa maoni, badala ya kufanya siasa za kisraarabu mnatuletea taharuki. Hiyo inaitwa mwana ukome
 
Enyi viongozi wa Chadema na wanachama wenu ..mtii sharia bila shuruti
 
Tatizo kuna watu wanadhani wanahati miliki ya hii Nchi!hii Nchi ni yetu sote
 
Kama wako low nenda jaribu kumnasua Mdude na Mwakabusi, uone muziki wao. Kama hujui maana ya State nenda uka GUGO.
Raia ambaye hashiki silaha unamfananisha na jeshi ambalo linamiliki silaha kisheria na kikatiba?

Akili zingine bana kha
 
Hata wewe ni kaburu kama unaruhusu watu wachache kutuletea taharuki nchini. Mumepewa mikutano ya siasa na uhuru wa maoni, badala ya kufanya siasa za kisraarabu mnatuletea taharuki. Hiyo inaitwa mwana ukome
Kaburu huwa kaburi pale anapokuwa madarakani.

Elewa hilo ndugu mdekezwa
 
Raia ambaye hashiki silaha unamfananisha na jeshi ambalo linamiliki silaha kisheria na kikatiba?

Akili zingine bana kha
Je akina Hanspope, Lugangira, Eugene Maganga, Capt Kadego etc mwaka 1983 walikuwa na silaha gani walipotaka kumpindua Julius Nyerere?

Halafu na wewe Msanii baada ya kula makande na kuvuta bangi chooni unajiona una akili
 
Back
Top Bottom