CHADEMA tiketi ya udini, ukabila na ukanda haitawasaidia kwenye siasa. Zaidi mnajiengua toka Kila kundi ambalo lingeweza kuwa wanachama au wafuasi wenu.
Kipindi Cha Jakaya mkaporomosha matusi sana kwa watu wa Pwani. Umaarufu wenu ukashuka mikoa ya Pwani!
Kipindi Cha Magufuli mlikashifu sana kanda ya ziwa mkatukana Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa. Mlikuwa na wafuasi wengi Kanda ya Ziwa lakini sasa wengi wamebaki angani!wamepeperuka!
Sasa hivi mna ponda sana Wazanzibar na waislamu ( mnaita Wavaa kobazi). Sina uhakikia kama mtaaminika kwenye miji yenye waislamu wengi.
Badilikeni.
Kuibua hisia za chuki kikabila,kikanda,kidini ndio turufu yenu bahati mbaya mnalamba garasa