denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hao ni wapuuzi, mind zao ni za kimaskini sana.Haa haa haa. Acheni inferiority complex nyie waislam! Kila akiingia rais muislam ni mambo yakimshinda mnakimbilia kwenye kivuli cha udini. Kuna rais alikosolewa kama Magufuli? Mbona wakristo hawakusema ni kwa sababu ni mkristo? Mlikataa kwenda shule kwa kuogopa umande halafu unataka mkikosea tuwasifu? Unataka hao waarabu waje kwa kutumia mkataba mbovu namna hii?