Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Ni wakosoaji tu. Usitutoe na wewe kwenye mjadala. Kuna watu mnatumiwa kuharibu mijadala.
 
Nawaasa wasema hovyo, msidhani wala msifikiri kuwa jela hazitoshi.

Uingereza walipokuwa waniweka nchi yao sawa, jela zilipokuwa hazitoshi, walienda wakawabwaga wafungwa Australia, wakawaambia, haya anzisheni makazi hapa, wakapewa na ngamia kama usafiri wao.

Tanzania visiwa vingi sana, Kumbukeni hilo.



Jera za Ulaya zinazidi makazi ya majumbani mwa wabongo wengi wa kawaida.

Kule Human Rights zinakuwa observed kwa hali ya juu sana.

Jera wanakula vizuri kuliko home?!

God forbid,

Lengo langu usiwatishe watu,

Msisitizo ule ni kutendeana Haki na uwajibikaji.

Zama hizi za utandawazi sio za kuwaburuza watu Utakavyo.
 
Unahuruka za ki CCM kutojibu hoja nakukimbilia vitisho, huko utakua ulikua house girl.

Sijalielewa hilo neno, mimi naongea Kiswahili, Kiarabu, Kingereza, Kifaransa kwa ufasaha, lakini neno hilo nimeshindwa kulielewa.
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Mama Abdul ameanza kuvurunda rasmi.
 
Jera za Ulaya zinazidi makazi ya majumbani mwa wabongo wengi wa kawaida.

Kule Human Rights zinakuwa observed kwa hali ya juu sana.

Jera wanakula vizuri kuliko home?!

God forbid,

Lengo langu usiwatishe watu,

Msisitizo ule ni kutendeana Haki na uwajibikaji.

Zama hizi za utandawazi sio za kuwaburuza watu Utakavyo.
"jera" ndiyo nini?
 
Nchi hii wenye akili ni wakristo na ndiyo wanaonekana tishio kwa serikali. Sasa waislam kwa ukilaza wao watakamatwa kwa lipi wakati hata mkataba wanashindwa kuchambua?
 
Ila we huoni wanaokamatwa ni wakritu tu.
wamekamatwa wakristo wote? Kwanini siyo
kardinaal Pengo
Au Alex Malasusa, Lissu au Mbowe ?

Wanakamatwa ambao wanatimiza wajibu wao kwa njia Hiyo

Niambie ni dini au muislamu gani kafanya alichofanya mdude?

Na kwanini wamkamate Islamic ambaye hajatuhumiwa eti kisa ku balance?
 
Back
Top Bottom