Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah, nimeziona hizo nchi unazozitaja kabla ya mama'ko kuzaliwa.Kwahiyo na wewe unataka upelekwe Uingeleza au Australia?
Hawa watu hatariNilijua mapema tu kuwa nia yenu si kupinga bandari kama bandari bali mna lenu tu, nalo ni chuki dhidi ya dini ya anayeongoza nchi sasa! Taratiiibu unafiki unakaa pembeni, ukweli unajidhihirisha.
Swali lako la msingi ni lipi, tukubali kutokukubaliana lakini tushindane kwa hoja. Anza.Mpuuzi kweli. Msema hovyo ni yule anayetoa majibu ya kijinga kwenye maswali ya msingi anayoulizwa.
Tende za bure mbayaToka basi ukaandamane?
Yanini unaandikia mate na wino upo?
Unahuruka za ki CCM kutojibu hoja nakukimbilia vitisho, huko utakua ulikua house girl.Aaah, nimeziona hizo nchi unazozitaja kabla ya mama'ko kuzaliwa.
kuwakamata tu wakristo cyoUchochezi huo
Nawaasa wasema hovyo, msidhani wala msifikiri kuwa jela hazitoshi.
Uingereza walipokuwa waniweka nchi yao sawa, jela zilipokuwa hazitoshi, walienda wakawabwaga wafungwa Australia, wakawaambia, haya anzisheni makazi hapa, wakapewa na ngamia kama usafiri wao.
Tanzania visiwa vingi sana, Kumbukeni hilo.
Unahuruka za ki CCM kutojibu hoja nakukimbilia vitisho, huko utakua ulikua house girl.
Mama Abdul ameanza kuvurunda rasmi.Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
"jera" ndiyo nini?Jera za Ulaya zinazidi makazi ya majumbani mwa wabongo wengi wa kawaida.
Kule Human Rights zinakuwa observed kwa hali ya juu sana.
Jera wanakula vizuri kuliko home?!
God forbid,
Lengo langu usiwatishe watu,
Msisitizo ule ni kutendeana Haki na uwajibikaji.
Zama hizi za utandawazi sio za kuwaburuza watu Utakavyo.
Kuna uzi nyingi kama huielewi kasome nyingine.
"jera" ndiyo nini?
Ila we huoni wanaokamatwa ni wakritu tu.Hii si topic sasa mnapoteza mwelekeo
Siungi mkono Hoja watu kukamatwa hovyo ILA udini tusiuweke
Britanicca Encyclopaedia
Uzi unakuuma nini?
wamekamatwa wakristo wote? Kwanini siyoIla we huoni wanaokamatwa ni wakritu tu.