Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The coup is really knockin indoors and it shall be executed by the unexpected mission details.......................
Mungu anaratibu anguko la CCM...The coup is really knockin indoors and it shall be executed by the unexpected mission details.......................
Uonevu uliokithiri umejidhihirisha tayari na Mungu ataamua very soon
Mkipewa uhuru utumieni vizuri,siyo unabwatuka tu,huko ndiyo kuangukiwa na Dola..kuanzia Leo tazama nyuso za wahubiri wa 'bandari kauziwa mwarabu milele, mzanzibar anaiuza Tanganyika, watanganyika tuamke'.... Tanganyika!?..mbuzi nyie!!Hakuna dhamana na hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa!
Blood diamond movie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka uwakamate na ufanye uchunguzi. Sasa hawa nao waache wapite kwenye mchakato huo. Hii nchi imesharauliwa sana na akina MdudeWalikuwa na jeshi ndani ya mipango yqo ya mapinduzi.
Mkuu hii siyo banana Republic, ni nchi yenye vyombo vyake vya dola. Kabla hujafanya unachotaka kufanya utakuwa umedakwa.The coup is really knockin indoors and it shall be executed by the unexpected mission details.......................
Uonevu uliokithiri umejidhihirisha tayari na Mungu ataamua very soon
😂😂😂😂JAMII Forum
Home of Great thinkers.
NYUZI KAMA HIZI ZINAIFANYA JF KUPITIA WAKATI MGUMU MNO
Joined Jul 2023. Utaelewa tu kajiunga kwa nia gani?JAMII Forum
Home of Great thinkers.
NYUZI KAMA HIZI ZINAIFANYA JF KUPITIA WAKATI MGUMU MNO
Ujinga ni mzigo mzito,, Kwahiyo thread hii ndio ndio takmo la maaskofu?Nilijua mapema tu kuwa nia yenu si kupinga bandari kama bandari bali mna lenu tu, nalo ni chuki dhidi ya dini ya anayeongoza nchi sasa! Taratiiibu unafiki unakaa pembeni, ukweli unajidhihirisha.