Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Jamani mimi naona msiingize Udini kwenye hili,

Huenda ni coincidence tu.

Watanzania ni ndugu moja bila kujali dini zetu.

Ngoja tuone mwisho wake.
 
Utaratibu wa JPM wa kubambikwa kesi zisizo na kichwa wala miguu zina anza . Madaraka bwana!!
 
Wakati wa vita vya uchumi watu walifanyiwa maovu pia kwa kuwa na fikira tofauti. Halijapita hata miaka 5 tumeona ya ICSID. Ni kama tumenyimwa uwezo wa kujifunza.
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu

Nilishawahi kuandika uzi kuhusu ili swala wakafuta. Kuna agenda kubwa dhidi ya wakristo kwenye hii nchi.
 

We sio mkristo and indeed you are not one.
 
CCM wanaona kuwashitaki huaini ni kutunyamazisha. Ila moto haupoi safari hii. Kama ni kibanda tutakiunguza tuanze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…