Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Jamani mimi naona msiingize Udini kwenye hili,

Huenda ni coincidence tu.

Watanzania ni ndugu moja bila kujali dini zetu.

Ngoja tuone mwisho wake.
 
Utaratibu wa JPM wa kubambikwa kesi zisizo na kichwa wala miguu zina anza . Madaraka bwana!!
 
Wakati wa vita vya uchumi watu walifanyiwa maovu pia kwa kuwa na fikira tofauti. Halijapita hata miaka 5 tumeona ya ICSID. Ni kama tumenyimwa uwezo wa kujifunza.
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu

Nilishawahi kuandika uzi kuhusu ili swala wakafuta. Kuna agenda kubwa dhidi ya wakristo kwenye hii nchi.
 
we hujui rais akiwa muislam wakristo wanavyosumbuaga? wadini sana hao wajamaa, mi mkristo lakini sipendi maubaguzi ya kijinga. Mbona wenzetu rais akiwa mkristo hawasumbui, hawafanyi vioja? Wakati wa Magufuli ni muislam gani alikuwa anaeneza maujinga km hao wajamaa. Kwanza ni wanafki hata huo ukristo wenyewe ni wa maslahi tu, wengi wao ni washirikina tu wala hawamtegemei wala kumcha Mungu. Issue ya bandari inaiumiza sana kichwa kanisa wamezoea magendo, huwa hawalipiagi bandarini. Ni wezi wa kodi za serikali, Mama Samia kazi iendee hao ni majambazi tu tumeshayatambua. Wamejaa ubaguzi, chuki, uzushi, uwongo, upotoshaji, uchochezi na uhaini. Washughulikiwe ipasavyo hakuna ukristo hapo.

We sio mkristo and indeed you are not one.
 
CCM wanaona kuwashitaki huaini ni kutunyamazisha. Ila moto haupoi safari hii. Kama ni kibanda tutakiunguza tuanze upya
 
Back
Top Bottom