Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Thread starter
- #361
Dikteta uchwaraSasa na hao kina mwambukusi ndio wanahojiwa ili kujua ndani yao wako na kina nani
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dikteta uchwaraSasa na hao kina mwambukusi ndio wanahojiwa ili kujua ndani yao wako na kina nani
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Ikiwa ni kweli watawafungulia kesi ya uhaini basi watanyea Mtondoo kwa muda mrefu tuSoon watatolewa. Serikali inawaogopa sana wakristo. Ndiyo wenye dunia
Umeipata wapi hii, bila shaka kwenye chuo mashuhuri cha 'google'.Lawless tiny country with unstable economy
Kwan tauar mahakama imetoa hikumu?Hakuna dhamana na hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa!
Blood diamond movie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaelewa sana na sijatumia kwa makosa. Kwangu Serikali ambayo inachezewa na yeyote kama ambavyo Mdude alikuwa anamuandika Rais kwenye page zake kwa mambo ya kijinga naiona nayo ni Banana Republic. Hivi sasa hatua zilizochukuliwa na vyombo vya dola zinaiheshimisha Serikali.Umeipata wapi hii, bila shaka kwenye chuo mashuhuri cha 'google'.
Siyo lazima iwe kama hivyo ulivyoeleza wewe.
"Banana Republic" ni msemo wa kimarekani.
Kule wao walikuwa/wana viinchi matajiri wao wanakokwenda kuwekeza kulima mashamba ya migomba (banana), ambayo mazao yake yanauzwa Marekani kwenyewe na kwingine duniani.
Vi-nchi hivi vingi vipo eneo la Carribean na Marekani ya kusini na kati.
Hivi vi-nchi ni uwanja wa kuchezea hawa wawekezaji, kila aina ya uchafu waliotaka kuufanya, na hakuna yeyote wa kuwazuia kufanya hivyo.
Sasa chukulia na mfano wetu huu na waarabu wetu hawa wanaokuja kutuchezesha, wakishika tunayoiita serikali yetu iwafanyie kazi ya kutuweka adabu tusiwasumbue wakubwa hawa, akina DP World na wengine kama wale wa Mbuga za wanyama.
Ngoja sasa nikuachie hapo. Lakini, kweli sasa unaelewa maana ya kuwa "Banana Republic", mkuu wangu' Huihui2'
Sisi sasa ni "Banana Republic" kwa kila namna upendavyo kutuchukulia, hata kwa maana hiyo uliyoipata wewe huko chuoni kwako.
Dah!Ninaelewa sana na sijatumia kwa makosa. Kwangu Serikali ambayo inachezewa na yeyote kama ambavyo Mdude alikuwa anamuandika Rais kwenye page zake kwa mambo ya kijinga naiona nayo ni Banana Republic. Hivi sasa hatua zilizochukuliwa na vyombo vya dola zinaiheshimisha Serikali.
Yaleyale ya mzenaKuna wakati nliona giza ghafla nikaona mwanga nasikitika giza tena limetanda...................
Mchezo mpya huu wanatuchezea Waarabu:Umeipata wapi hii, bila shaka kwenye chuo mashuhuri cha 'google'.
Siyo lazima iwe kama hivyo ulivyoeleza wewe.
"Banana Republic" ni msemo wa kimarekani.
Kule wao walikuwa/wana viinchi matajiri wao wanakokwenda kuwekeza kulima mashamba ya migomba (banana), ambayo mazao yake yanauzwa Marekani kwenyewe na kwingine duniani.
Vi-nchi hivi vingi vipo eneo la Carribean na Marekani ya kusini na kati.
Hivi vi-nchi ni uwanja wa kuchezea hawa wawekezaji, kila aina ya uchafu waliotaka kuufanya, na hakuna yeyote wa kuwazuia kufanya hivyo.
Sasa chukulia na mfano wetu huu na waarabu wetu hawa wanaokuja kutuchezesha, wakishika tunayoiita serikali yetu iwafanyie kazi ya kutuweka adabu tusiwasumbue wakubwa hawa, akina DP World na wengine kama wale wa Mbuga za wanyama.
Ngoja sasa nikuachie hapo. Lakini, kweli sasa unaelewa maana ya kuwa "Banana Republic", mkuu wangu' Huihui2'
Sisi sasa ni "Banana Republic" kwa kila namna upendavyo kutuchukulia, hata kwa maana hiyo uliyoipata wewe huko chuoni kwako.
Nakuambiaje, baada ya Mdude, Mwabukusi na huyo Dr Slaa kukamatwa, kama utasikia nzi na viroboto wengine wanaendelea na ujinga huu, niite mbwa niko pale.Dah!
Basi sawa mkuu, kama unaona sasa hivi serikali inapata "heshima." huo ni mwono wako na baadhi ya watu wenye mlengo kama wako.
Hii nchi taabu sana.yanarudi yaleyale ya mwendazakeTaarifa za Uhaini zikieneaga Uchumi unayumbaga ujue
Na ule mchezo wataucheza sana huko ndani tena kwa uhuru, kwani si pia wamepitisha rasmi?, yule papaa keshawaambia sio dhambi so watfrahia bila shakaIkiwa ni kweli watawafungulia kesi ya uhaini basi watanyea Mtondoo kwa muda mrefu tu
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Unaonaje tuanze kukuchinja ww kondoo mweupeNarudia tena dawa yao ni kuchinja tu, kila mhaini achinjwe hadharani watu wakishuhudia,
Akiwa baba au mama sheria zipo na zitatumika, na kila ataejaribu tutamshughulikia