Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Lawless tiny country with unstable economy
Umeipata wapi hii, bila shaka kwenye chuo mashuhuri cha 'google'.

Siyo lazima iwe kama hivyo ulivyoeleza wewe.

"Banana Republic" ni msemo wa kimarekani.

Kule wao walikuwa/wana viinchi matajiri wao wanakokwenda kuwekeza kulima mashamba ya migomba (banana), ambayo mazao yake yanauzwa Marekani kwenyewe na kwingine duniani.
Vi-nchi hivi vingi vipo eneo la Carribean na Marekani ya kusini na kati.

Hivi vi-nchi ni uwanja wa kuchezea hawa wawekezaji, kila aina ya uchafu waliotaka kuufanya, na hakuna yeyote wa kuwazuia kufanya hivyo.

Sasa chukulia na mfano wetu huu na waarabu wetu hawa wanaokuja kutuchezesha, wakishika tunayoiita serikali yetu iwafanyie kazi ya kutuweka adabu tusiwasumbue wakubwa hawa, akina DP World na wengine kama wale wa Mbuga za wanyama.

Ngoja sasa nikuachie hapo. Lakini, kweli sasa unaelewa maana ya kuwa "Banana Republic", mkuu wangu' Huihui2'

Sisi sasa ni "Banana Republic" kwa kila namna upendavyo kutuchukulia, hata kwa maana hiyo uliyoipata wewe huko chuoni kwako.
 
Ninaelewa sana na sijatumia kwa makosa. Kwangu Serikali ambayo inachezewa na yeyote kama ambavyo Mdude alikuwa anamuandika Rais kwenye page zake kwa mambo ya kijinga naiona nayo ni Banana Republic. Hivi sasa hatua zilizochukuliwa na vyombo vya dola zinaiheshimisha Serikali.
 
Dah!
Basi sawa mkuu, kama unaona sasa hivi serikali inapata "heshima." huo ni mwono wako na baadhi ya watu wenye mlengo kama wako.
 
Umeipata wapi hii, bila shaka kwenye chuo mashuhuri cha 'google'.

Siyo lazima iwe kama hivyo ulivyoeleza wewe.

"Banana Republic" ni msemo wa kimarekani.

Kule wao walikuwa/wana viinchi matajiri wao wanakokwenda kuwekeza kulima mashamba ya migomba (banana), ambayo mazao yake yanauzwa Marekani kwenyewe na kwingine duniani.
Vi-nchi hivi vingi vipo eneo la Carribean na Marekani ya kusini na kati.

Hivi vi-nchi ni uwanja wa kuchezea hawa wawekezaji, kila aina ya uchafu waliotaka kuufanya, na hakuna yeyote wa kuwazuia kufanya hivyo.

Sasa chukulia na mfano wetu huu na waarabu wetu hawa wanaokuja kutuchezesha, wakishika tunayoiita serikali yetu iwafanyie kazi ya kutuweka adabu tusiwasumbue wakubwa hawa, akina DP World na wengine kama wale wa Mbuga za wanyama.

Ngoja sasa nikuachie hapo. Lakini, kweli sasa unaelewa maana ya kuwa "Banana Republic", mkuu wangu' Huihui2'

Sisi sasa ni "Banana Republic" kwa kila namna upendavyo kutuchukulia, hata kwa maana hiyo uliyoipata wewe huko chuoni kwako.
Mchezo mpya huu wanatuchezea Waarabu:

  • Claimant(s)/Nationality(ies): (i)
    Brian Malcolm Thomson (British), Pennyroyal Limited (Mauritian)
  • Respondent(s):
    United Republic of Tanzania (Tanzanian)
  • Date Registered:
    July 20, 2023
  • Party Representatives​

  • Claimant(s):
    Steptoe & Johnson, London, U.K., and Washington, D.C., U.S.A.
  • Respondent(s):
    Office of the Solicitor General, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania
  • Status of Proceeding:
    Pending
  • Latest Development:
    July 20, 2023 -
    The Acting Secretary-General registers a request for the institution of arbitration proceedings.
 
Dah!
Basi sawa mkuu, kama unaona sasa hivi serikali inapata "heshima." huo ni mwono wako na baadhi ya watu wenye mlengo kama wako.
Nakuambiaje, baada ya Mdude, Mwabukusi na huyo Dr Slaa kukamatwa, kama utasikia nzi na viroboto wengine wanaendelea na ujinga huu, niite mbwa niko pale.
 
'Yule Mwovu" ameanza kazi tena Tanzania!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu okoa watu wako dhidi ya dhuluma tunayofanyiwa na watawala.
 
Ccm inaharakisha kifo chake. Mawazo yangu ni haya.

1. Dola inataka kuiuwa ccm mtindo huu.
2. Dola unamchonganisha rais na watu wake.
3.Dola inaichonganisha ccm na watanzania.
 
Nchi nyingi za kiafrika tuna matatizo ya kugawanywa, tukisha gawanywa tunaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe. Tusipokuwa waangalifu hatutakuwa na maendeleo mpaka kiama. Tutafute njia ya kutoka hapa tulipo na kupiga hatua mbele, kwanza kuunda umoja wetu wa kitanzania bila kujali imani, kabila, kanda zetu, tuwe na nia ya kuiona Tanzania inapiga hatua kimaendeleo na watanzania wanafaidika na maendelo hayo. Wakati hautusubiri na tumeshindwa na nchi ndogo tu zenye rasilimali chache ambazo zimepiga hatua kimaendele wakati sisi tuna kila aina za rasilimali.
Imani zetu, makabila yetu, rangi zetu, kanda zetu na vyama vyetu vitufanye tuwe raia bora wa kitanzania katika kutuletea maendeleo ya nchi yetu na hata ulimwengu kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom