Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

Bilionea Tuntemeke Sanga, Ndesamburo, Ngaiza, Bob Makani, Mwaikambo na Mtei [emoji3]
.
20230601_215742.jpg
 
Jamaa jasiri sana,ana jina kubwa sana,huyo Mdude.
 
Naomba kujua historia ya huyu bwana mdogo kwa anayeijua.

Anajiamini na ana misimamo mikali kama muasisi wa CHADEMA hayati Tuntemeke Sanga.

Hata Sugu kabla hajachakachuliwa alikuwa na misimamo mikali sana hasa alipoporwa mradi wa vyandarua[emoji3][emoji3].

Tumtemeke Sanga? Wewe unamfahamu Tumtemeke Sanga? Aliwahi kuasisi CHADEMA wapi na lini aliwahi kutoka CCM akawa upinzani? Hivi hizi nyuzi huwa mnaandika mkiwa wapi na mnafanya nini? Tafadhali kama huna uhakika na jambo lolote usilitume humu. Hatutaki upumbavu wa kumuaibisha ndugu yetu, mwache apumzike kaburini! Nadhani wakati Tumtemeke anafanya siasa nchi hii hata baba yako alikuwa hajazakiwa pengine ndiyo maana mkawa mnasimuliwa matakataka kama haya! Hata wenye chama chao CHADEMA nadhani wanakuona unavuta bangi! Nenda kamuulize Mzee Mtei kule Arusha akupe historia ya CHADEMA!
 
Wewe ulikuwa chekechea wakati huo!

Kwa kweli nadhani wewe ulikuwa na pampasi humujaachana, tukupe pole sana, na bahati nzuri Mzee Mtei muasisi wa CHADEMA bado yupo hai! Sanga alikuwa nwana CCM na alikufa akiwa CCM! Pole sana ila usiwe unavuta bangi hadi unachanganyikiwa! Hata Freeman Mbowe ambaye ni mkwe wa Mzee Mtei atakuwa ameoata kichefuchefu cha takataka uliyopost hapa!
 
Waulize Wazee wako hapo Ufipa st kwa Makani watakupa orodha ya Wassisi 6 wa Chadema

Vikao vyote vilifanyika Motel Agip kwa Tuntemeke Sanga Mkinga na nusu!

Bwege wewe, usidhani utatudanganya watu wazima hapa!
 
Waulize Wazee wako hapo Ufipa st kwa Makani watakupa orodha ya Wassisi 6 wa Chadema

Vikao vyote vilifanyika Motel Agip kwa Tuntemeke Sanga Mkinga na nusu!

Na wala Tunteneke Sanga hakuwahi kuwa wala kumiliki Motel Agip na wala hakuwahi kuwa na nyumba Dar. Labda aliasisi CHADEMA ya kijijini kwako!
 
Sabodo alikuwa CCM akatoa michango CHADEMA.
 
[emoji3][emoji3] Wachagga walikuwa wawili tu halafu Msukuma, Mkinga, Mnyakyusa na Muhaya!

Au Nikupe majina dogo!

Labda huyo Tunteneke Sanga wa kwenu huko bush ulikozaliwa, ila nadhani bangi unalitabdika hadi limekuvuruga kichwa kabisa bwana mdogo!
 
Bilionea Tuntemeke Sanga, Ndesamburo, Ngaiza, Bob Makani, Mwaikambo na Mtei [emoji3]

Huyo bilionea Tunteneke nadhani ni mganga wenu wa kupiga tunguli lakini siyo Tuntemeke tunayemfahamu ndugu zake ambaye alikuwa mbunge wa Makete na ambaye hakuwa mfanya biashara zaidi ya kukulia na kufaa akiwa mwana CCM.
 
Wangepatikana watu 100 kama mdude nyagalli basi maendeleo ya hii nchi yangekuwa kama Japan
 
Back
Top Bottom