We acha tu napaonaga kwenye kideo.
Alafu usiombe upaone usiku kwenye kideo utafanya ambao hatujawai fika tuogope kabisa kuja hukoWe acha tu napaonaga kwenye kideo.
Talking about great thinker likiletwa paper la ufahamu humu JF mi ndo member pekee ntakaye shika mkia.Yawezekana wewe ndie memba pekee usiejua kua jf 18 ndio wanaohishi maisha halisi wengine ni pretenders,
Yawezekana ni wewe pekee unaeamini wanajf wote wanaishi dar
Yawezekana wewe peke yako ndiyo unaeamin kila mwana jf anamiliki Visa
Yawezekana wewe peke yako ndiye unaeamini wanajf wote wanamichepuko kumbe ni changamsha genge tu
Na sio wote ni great thinkers..kua na amani chief wana jf unaishi nao hapo kitaa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kua na amani tu humu tu mpaka tulioishia LA nne na tupo hapa kujiongezea maarifa na si vinginevyoTalking about great thinker likiletwa paper la ufahamu humu JF mi ndo member pekee ntakaye shika mkia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha hahaha hahaha
Leo kuna mmoja katupa simu kwa hasira kwa office, anauliza ati mbona mie sina akili?!
Hahaha hahaha, kumuuliza why anajibu kuna watu wako na maakili mingi saaana!
Wapi huko, jibu ni JF!! Kumbe ni member wa jf bana!!
Tukafanya kumfariji!
Kaazi kweli kweli mkuuAma kweli Jf iko overrated saaaana.
Humu sio mbinguni... Acha mawazo mgando
Hahaaa haaaNyeto pia hujawahi piga!??
Maana tunaanza usajili wa memba wapya CHAPUTA 1st March..
Nafasi ni chache
Hahaa bangi sana HuyoHahaha hahaha hahaha
Leo kuna mmoja katupa simu kwa hasira kwa office, anauliza ati mbona mie sina akili?!
Hahaha hahaha, kumuuliza why anajibu kuna watu wako na maakili mingi saaana!
Wapi huko, jibu ni JF!! Kumbe ni member wa jf bana!!
Hahaha hahaha hahaha
Itakuwa intelligence kule ...haha " kule ukianza kusoma topic za kule ...kama una akili ndogo Lazima ujione punguaniHahaha hahaha hahaha
Hakuna bangi pale, sijui alikuwa jukwaa gani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa intelligence kule ...haha " kule ukianza kusoma topic za kule ...kama una akili ndogo Lazima ujione punguani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kule lazima " maana ukisoma nondo nzito nzito unasikia kichwa kinajaa kabisa " ubongo kama unachemka hivi ... yaani hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana!
Atakuwa kakutana na mada nzito huko!Hahaa kule lazima " maana ukisoma nondo nzito nzito unasikia kichwa kinajaa kabisa " ubongo kama unachemka hivi ... yaani hadi raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kule ni disaster .... ni mwendo wa fact tu .. kama haujui kitu ni bora ukae kimya maana waweza ku comment ujinga ukawa umeipa nafasi jamii ijue kuwa wewe ni empty setAtakuwa kakutana na mada nzito huko!
Huwa napitaga huko kimya kimya
Hahaha hahaha hahahaIYeah kule ni disaster .... ni mwendo wa fact tu .. kama haujui kitu ni bora ukae kimya maana waweza ku comment ujinga ukawa umeipa nafasi jamii ijue kuwa wewe ni empty set
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hujui kuwa mkokoteni huwa expensive kuliko baiskeli?"Wakati wengine wakijadili kuhusu mandinga makali Mimi ndo mwaka huu nafikiria kununua baiskeli."
Mkuu, hongera kufikiria kununua baiskeli, sisi bado tunawaza mkokoteni ya gurudumu moja.