Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙄🙄🙄🙄🙄
Rebecca unajua ulichokifanya [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙄🙄🙄🙄🙄
Mkuu kama unataka kulogin jamii forumu kwa freebasic unafanyeje nipe mwongozo vyuma vimekaza
Sent using Jamii Forums mobile app
We mamiloo Mahondaw,,kama simu yako ina Operamini ukiingia unakutana na app kama facebook,Google,Kwese news pamoja na hiyo freebasics yenyewe,Uki click kwenye iyo freebasics utakutana na tovuti zisizolipishwa kama vile,Ask.com,Free facebook,Dictionary.com,BBC news pamoja na jamiiforum yenyewe,,Ila Jf ya uko freebasics haina ubora kama ukiwa na app kabisa,mfano hai-play video,Picha za kiduanzi tu na vitu kaa izo..YeahMimi pia naomba mwongozo wa hio freebasic... Kwanza ndo kinini eti!?????
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
We mamiloo Mahondaw,,kama simu yako ina Operamini ukiingia unakutana na app kama facebook,Google,Kwese news pamoja na hiyo freebasics yenyewe,Uki click kwenye iyo freebasics utakutana na tovuti zisizolipishwa kama vile,Ask.com,Free facebook,Dictionary.com,BBC news pamoja na jamiiforum yenyewe,,Ila Jf ya uko freebasics haina ubora kama ukiwa na app kabisa,mfano hai-play video,Picha za kiduanzi tu na vitu kaa izo..Yeah
Hii ni yetu sote..... walioishia nursery hadi wenye madigilii yao kama Mugabe tunakutana umu,Mkuu kua na amani tu humu tu mpaka tulioishia LA nne na tupo hapa kujiongezea maarifa na si vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly mkuu.but naona wewe freebasics hapo haipo mpaka ui-add kwenye bookmarks ikishakuja ile unaingia tu ndo unakutana na iyo jf..bt mimi nnayo apa kulia juu kabisa..
Wakati wewe unafikiria kununua baiskeli sisi wenzako tunafikiria kuvisha matairi mapya TZ 11 zetu [emoji849][emoji849][emoji849]Home of great thinker. Nimejaribu kujifanyia karesearch kadogo tu na haya ndio niliyoyabaini.
-uenda Mimi ndo member pekee wa Jf nayeishi Tanzania Ila sijawahi fika bongo Dar es salaam
-yawezekana ni Mimi tu humu Jf sijawahi kuvuka boda.
-yawezekana ni Mimi tu humu Jf nayeishi maisha cheap sana maana ninatumia freebasics Ku log in
-wakati wengine wakijadili kuhusu mandinga makali Mimi ndo mwaka huu nafikiria kununua baiskeli.
-yawezekana Mimi ndo member pekee nisiyekuwa na mchepuko humu Jf.
Ila yote heri Ila ukweli na enjoy sana na I'm already addicted to Jamii Forum.
Freebasic ya operamini ndo ya kiduwanzi ika ukitumia browser ipo fresh hadi picha kwalite ile ile kama unatumia app tuWe mamiloo Mahondaw,,kama simu yako ina Operamini ukiingia unakutana na app kama facebook,Google,Kwese news pamoja na hiyo freebasics yenyewe,Uki click kwenye iyo freebasics utakutana na tovuti zisizolipishwa kama vile,Ask.com,Free facebook,Dictionary.com,BBC news pamoja na jamiiforum yenyewe,,Ila Jf ya uko freebasics haina ubora kama ukiwa na app kabisa,mfano hai-play video,Picha za kiduanzi tu na vitu kaa izo..Yeah
Aahaa ngoja niidownload BrowserFreebasic ya operamini ndo ya kiduwanzi ika ukitumia browser ipo fresh hadi picha kwalite ile ile kama unatumia app tu