ME AGAINST JF MEMBERS.

ME AGAINST JF MEMBERS.

Yawezekana wewe ndie memba pekee usiejua kua jf 18 ndio wanaohishi maisha halisi wengine ni pretenders,

Yawezekana ni wewe pekee unaeamini wanajf wote wanaishi dar

Yawezekana wewe peke yako ndiyo unaeamin kila mwana jf anamiliki Visa

Yawezekana wewe peke yako ndiye unaeamini wanajf wote wanamichepuko kumbe ni changamsha genge tu

Na sio wote ni great thinkers..kua na amani chief wana jf unaishi nao hapo kitaa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Talking about great thinker likiletwa paper la ufahamu humu JF mi ndo member pekee ntakaye shika mkia.
 
Hahaha hahaha hahaha
Leo kuna mmoja katupa simu kwa hasira kwa office, anauliza ati mbona mie sina akili?!
Hahaha hahaha, kumuuliza why anajibu kuna watu wako na maakili mingi saaana!

Wapi huko, jibu ni JF!! Kumbe ni member wa jf bana!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha hahaha
Leo kuna mmoja katupa simu kwa hasira kwa office, anauliza ati mbona mie sina akili?!
Hahaha hahaha, kumuuliza why anajibu kuna watu wako na maakili mingi saaana!

Wapi huko, jibu ni JF!! Kumbe ni member wa jf bana!!
Hahaa bangi sana Huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom