ME AGAINST JF MEMBERS.

Mimi pia naomba mwongozo wa hio freebasic... Kwanza ndo kinini eti!?????


Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
We mamiloo Mahondaw,,kama simu yako ina Operamini ukiingia unakutana na app kama facebook,Google,Kwese news pamoja na hiyo freebasics yenyewe,Uki click kwenye iyo freebasics utakutana na tovuti zisizolipishwa kama vile,Ask.com,Free facebook,Dictionary.com,BBC news pamoja na jamiiforum yenyewe,,Ila Jf ya uko freebasics haina ubora kama ukiwa na app kabisa,mfano hai-play video,Picha za kiduanzi tu na vitu kaa izo..Yeah
 
Ndo mfano hio mkuu??


Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wewe unafikiria kununua baiskeli sisi wenzako tunafikiria kuvisha matairi mapya TZ 11 zetu [emoji849][emoji849][emoji849]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Freebasic ya operamini ndo ya kiduwanzi ika ukitumia browser ipo fresh hadi picha kwalite ile ile kama unatumia app tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…