nilikuonya nilifikiri ungestuka ufanye editing, imekula kwako muzeee hahaha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] king unaua
Mweeee sio hio tu ntasemwa kwa mengi bado anakula hovyo kanharibia budgetutasemwa unalala sana na kukoroma
halafu uzi aingilie kati yule mbea umekwishaHiyo privacy ulishindwa kwa yule bidada kwangu member wa jf ndo utaweza
Tena ukileta uzi unasema ni member humu watu wanakua interested kujua ni nani, pm zinakua nyingi unawadokeza ni flan me nakua busy kukoment kumbe nachorwa
Ukiiiona unionesheKamba ipo wap
Weee alafu na ujumbe wakoUkiiiona unioneshe
Mguu upi wenye kamba wa kushoto au Kulia?
Ila karibu sana JF mkuu.
Nipe basi huo ujumbeWeee alafu na ujumbe wako
Wewe ndio yule mubby777 Wa instagram?Bado nina kamba mguuni mnipokee
isije kuwa umeweka kikuku alafu unatuambia ni kamba
Kuna mdada humu jf kaniambia nkwambie anakuelewa sana(serious)Nipe basi huo ujumbe
[emoji23]
Wewe ndio yule mubby777 Wa instagram?
Nitajie ID yake huku chamberKuna mdada humu jf kaniambia nkwambie anakuelewa sana(serious)
Inna una wasiwasi sanaaa. Maisha hayapo JF tu. Thou JF ni sehemu kubwa ya naisha yangu kwa siku nyingi sana. Sijawai muanika mtu lather than huyu wa juzi.Hiyo privacy ulishindwa kwa yule bidada kwangu member wa jf ndo utaweza
Tena ukileta uzi unasema ni member humu watu wanakua interested kujua ni nani, pm zinakua nyingi unawadokeza ni flan me nakua busy kukoment kumbe nachorwa
[emoji2][emoji2]Basi, bro nishaelewa me mtu mzimaHahaha taratibu chief
Dodo chini ya MlimaoNitajie ID yake huku chamber
[emoji2][emoji2]Basi, bro nishaelewa me mtu mzima
Chumvi ipo tayari hapa[emoji3][emoji3][emoji3]Dodo chini ya Mlimao
Ooho..!!Watu wa system tupo aside