ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya petrol kupanda haya wameuliwa na police na wengi majeruhi.
Lakini unaonaje kama wangefanya kampeni ya kugoma yaani mnagomea kwenda petrol station kwa week nzima je hamuoni kama uchumi wa nchi utayumba Kiasi cha kuwafanya serikali wapunguze bei au wayafanyie kazi matakwa yenu.kwa sababu hata mkigoma kufanya kazi kutokwenda petrol station kuweka mafuta haimaanishi watoto wako watakufa njaa riziki nyingi zipo Tu..ila mtu analazimishwa na wanasiasa kuandamana ndo maana gen z kenya nawaona wanazingua tu