ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya petrol kupanda haya wameuliwa na police na wengi majeruhi.
Lakini unaonaje kama wangefanya kampeni ya kugoma yaani mnagomea kwenda petrol station kwa week nzima je hamuoni kama uchumi wa nchi utayumba Kiasi cha kuwafanya serikali wapunguze bei au wayafanyie kazi matakwa yenu.kwa sababu hata mkigoma kufanya kazi kutokwenda petrol station kuweka mafuta haimaanishi watoto wako watakufa njaa riziki nyingi zipo Tu..ila mtu analazimishwa na wanasiasa kuandamana ndo maana gen z kenya nawaona wanazingua tu
Umenijibu vizuri sanaMbadiliko huwa yamelenga long run benefits.
Zipo njia mbalimbali za kudai haki, immediately na Shortly.
Mfano Gharama za maisha zimepaa sana.
Ikiwa mtasema mfanye buy cot (Mgomo) bado serikali haitoweza kutatua hilo swala immediately .
Kwahiyo watatumia maandamano .
Kuhusu faida na hasara , kupitia maandamano mtapata mnachokidai endapo maandamano yatakuwa massive yanayopelekea shughuli za nchi husika kusimama..
kuhusu vifo n.k.
Hii ni kanuni ambayo ili wengi waishi vizuri lazima wachache waaumie na wafe.
Mfano marekani watu Kama Martin Luther kin jr na Malcom X waliuliwa , kuteswa n.k Ila walipigania haki za MTU weusi , so they paid the price .
Na mwaka 2008 Marekani walipata Rais wa kwanza mweusi kutoka USA.
Mfano wewe hapo unaweza kuwa unaona GenZ wa Kenya , they do nothing Ila after 30 -40 from now Kenya wakaja wakawa na nchi bora Sana.
The same in life usipojitoa sadaka unabidi kusahau kuja the greatest one in this world or in life.
Kwahiyo watu kuuliwa ,kufungwa na kuteswa hiyo isikuumize kwakuwa duniani kote watu wanaojaribu kuleta mabadiliko sehemu fulani huwa wanakumbwa na changamoto Kama hizo.
Kufa Ili wengine waishi vizuri ndio ujinga wenyewe huoMbadiliko huwa yamelenga long run benefits.
Zipo njia mbalimbali za kudai haki, immediately na Shortly.
Mfano Gharama za maisha zimepaa sana.
Ikiwa mtasema mfanye buy cot (Mgomo) bado serikali haitoweza kutatua hilo swala immediately .
Kwahiyo watatumia maandamano .
Kuhusu faida na hasara , kupitia maandamano mtapata mnachokidai endapo maandamano yatakuwa massive yanayopelekea shughuli za nchi husika kusimama..
kuhusu vifo n.k.
Hii ni kanuni ambayo ili wengi waishi vizuri lazima wachache waaumie na wafe.
Mfano marekani watu Kama Martin Luther kin jr na Malcom X waliuliwa , kuteswa n.k Ila walipigania haki za MTU weusi , so they paid the price .
Na mwaka 2008 Marekani walipata Rais wa kwanza mweusi kutoka USA.
Mfano wewe hapo unaweza kuwa unaona GenZ wa Kenya , they do nothing Ila after 30 -40 from now Kenya wakaja wakawa na nchi bora Sana.
The same in life usipojitoa sadaka unabidi kusahau kuja kuwa the greatest one in this world or in life.
So , demonstration and buy cot unabidi kutumia zote Ila massive Demonstration is the best way .
Kwahiyo watu kuuliwa ,kufungwa na kuteswa hiyo isikuumize kwakuwa duniani kote watu wanaojaribu kuleta mabadiliko sehemu fulani huwa wanakumbwa na changamoto Kama hizo.
Robert Heriel Mtibeli
DR HAYA LAND 30 JR
Nipeni mtazamo wenu ipi njia Bora kushinikiza jambo au kupinga au kudai hasa ambalo linahitaji Tu maamuzi MADOGO ya kisiasa
Njia nzuri ni kugoma, unaona chadema walivyofanikiwa baada ya kugomea uchaguzi 2025-2030?Robert Heriel Mtibeli
DR HAYA LAND 30 JR
Nipeni mtazamo wenu ipi njia Bora kushinikiza jambo au kupinga au kudai hasa ambalo linahitaji Tu maamuzi MADOGO ya kisiasa
kwenye yale maandamano ya CHADEMA alijitokeza aliyeitwa mmachinga mmoja ati akasema hawezi kugoma kwa sababu atavunjwa miguu na kushindwa kuwapelekea watoto wake ugaliAtleast umenishawishi.
Ila watanzania ni wanafiki, wataenda kujaza kimya kimya.
Ila wote tukiwa kitu kimoja, hata wanasiasa watakua wanafanya kazi ipasavyo.
Serikali imepitisha muswaada wa kipuuzi, tunagoma kununua petrol.
Kuna mtu kapotezwa kizembe halafu serikali haituelezi vya kueleweka, hatuingii sheli.
Mbona tunainyoosha serikali mapema tu.