Akapiga?Hahaha...bora wewe kuna chalii mmoja alitongozaga
Line ikafungwa kwa muda...but wakaja kumfunguliaAkapiga?
Ha ha ha ha hawakuwa fair...waliifunga kwa kosa gani sasa!!jamaa yangu alikula wa vodaLine ikafungwa kwa muda...but wakaja kumfungulia
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaha...bora wewe kuna chalii mmoja alitongozaga
Hahahaah nami niliwahi mzingua mmoja. Baada ya kumaliza shida yangu eti akaniuliza una shida nyingine? Nikamwambia ndio.....nikaanza kumwaga madini.....hahahaahHa ha ha ha hawakuwa fair...waliifunga kwa kosa gani sasa!!jamaa yangu alikula wa voda
Ha ha ha vipi alielewa somo?![emoji12] ila shemeji nawe mbaya eeeh[emoji125]Hahahaah nami niliwahi mzingua mmoja. Baada ya kumaliza shida yangu eti akaniuliza una shida nyingine? Nikamwambia ndio.....nikaanza kumwaga madini.....hahahaah
Hahahaah shemeji hakuelewa somo.......!!! Alisema hiyo sio sehemu ya kazi yake akasema atanipigia maana namba anayo.! Lakini hadi Leo sikupata simu yake.!Ha ha ha vipi alielewa somo?![emoji12] ila shemeji nawe mbaya eeeh[emoji125]
Ha ha ha endelea kusubiri [emoji12]Hahahaah shemeji hakuelewa somo.......!!! Alisema hiyo sio sehemu ya kazi yake akasema atanipigia maana namba anayo.! Lakini hadi Leo sikupata simu yake.!
Hahahaah sawaHa ha ha endelea kusubiri [emoji12]