SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Leo nimepiga no 100, tigo huduma kwa wateja..
Akapokea dada mmoja hivi kwa madaha na pozi akanambia..
karibu tigo huduma kwa wateja, naitwa Rozi, naongea na nani uko wapi tafadhali??
Nikamuambia kama hamuwezi kusave jina langu siwezi kujitambulisha kila siku..nikakata simu[emoji51][emoji51][emoji51]
Saivi niko zangu gheto nafikiria jinsi ya kupata vocha nyingine....
Maana ile niliyokwangua vibaya ndo hivyo imeshanidodea..
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi sipendi ujinga..[emoji23][emoji23]