Me sio mtu wa mchezo mchezo...

Me sio mtu wa mchezo mchezo...

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,364
Reaction score
2,001
Leo nimepiga no 100, tigo huduma kwa wateja..

Akapokea dada mmoja hivi kwa madaha na pozi akanambia..

karibu tigo huduma kwa wateja, naitwa Rozi, naongea na nani uko wapi tafadhali??

Nikamuambia kama hamuwezi kusave jina langu siwezi kujitambulisha kila siku..nikakata simu[emoji51][emoji51][emoji51]
Saivi niko zangu gheto nafikiria jinsi ya kupata vocha nyingine....
Maana ile niliyokwangua vibaya ndo hivyo imeshanidodea..
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi sipendi ujinga..[emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha...bora wewe kuna chalii mmoja alitongozaga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji318][emoji318][emoji318][emoji121][emoji121][emoji121]....i wishin u a marry happy chrismass....!! Hupendagi ujinga...
 
Mpaka sikukuu ziishe hizi, tutaskia mengi.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaah nami niliwahi mzingua mmoja. Baada ya kumaliza shida yangu eti akaniuliza una shida nyingine? Nikamwambia ndio.....nikaanza kumwaga madini.....hahahaah
Ha ha ha vipi alielewa somo?![emoji12] ila shemeji nawe mbaya eeeh[emoji125]
 
Ha ha ha vipi alielewa somo?![emoji12] ila shemeji nawe mbaya eeeh[emoji125]
Hahahaah shemeji hakuelewa somo.......!!! Alisema hiyo sio sehemu ya kazi yake akasema atanipigia maana namba anayo.! Lakini hadi Leo sikupata simu yake.!
 
Daaaa......nyie jamaa bana.
Nimechekaaaaa na cna cha kuchangia kwa kweli
 
Hahahaah shemeji hakuelewa somo.......!!! Alisema hiyo sio sehemu ya kazi yake akasema atanipigia maana namba anayo.! Lakini hadi Leo sikupata simu yake.!
Ha ha ha endelea kusubiri [emoji12]
 
Back
Top Bottom