Mean While; Tanzania is Testing the SGR

Hii sio ya umeme bana ni ukora tupu![emoji16][emoji16][emoji16]
 
hebu niwaone yappi merkezi kwenye channel yao wanasemaje
 
And who told Magu that the quality of a rail is tested by hand βœ‹!? Jamaal wa push ups.

It is becoming common in Bongoland that even roads quality is test by hand βœ‹.


I have heard of a leader who has dug up in the middle of a road with a fork jembe to check the quality. πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🀣 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🀣 🀣
Mbavu zangu zinauma
 
Guys this is just a test cruise with a testing locomotive.
Just relax, as more will come.
View attachment 1146605



View attachment 1146605



View attachment 1146616


View attachment 1146617
mbona hata TAZARA enzi zile za Mwalimu ilipokuwa inafunguliwa ilikuwa na mwonekano mzuri (nje na ndani) zaidi ya haya mawagoni ya wakolomije?

inashangaza sana watu wana flaunt SGR as if ni kitu kipya sana nchini.

je...mnajua kwamba barabara iliyojengwa sambamba na TAZARA kuelekea Zambia inabeba shehena nyingi zaidi kuliko TAZARA? hamjajifunza kitu kutokana na uzoefu huu - au mnajenga tu kama pambo?
 
Fam I just saw that video ya mtu akilima barabara na amevaa uniform za scout. Sasa who does that kwa hii era??Nmeisha yangu yote. And there are guys staring apo hadi polisi badala ya wamwambie anafanya vibaya. Sasa hio barabara ishaanza kudeteroriate already. That pothole might even cause an accident miaka ijayo who knows.
 
Ni ushamba manze. Understand these people have been in the darkness for more than a century.

Tuliimbiwa Reli ni ya umeme, treni ni burret na itafika Morogoro ila so far yote waliyosema ni uongo mtupu...bure kabisa na huo mtambo wa gongo. Treni yenyewe inakaa zile za kubebea mifugo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…