komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wacha kulia wewe
Nenda kale karoti ili uweze kuona concrete poles hizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kale karoti ili uweze kuona concrete poles hizo.
Mtambo wa gongo?Ulisema mkijenga sentimita moja tuku tag. Sasa umeona kitu?
Subiri Kama magavana toka county za kenya hawatakuja kujifunza tulivyoweza kufanikisha treni ya umeme.
Mwongeleshe kikikuyu uone kama utamweza wenzakp waliwai kubishana naye kuwa siyo mkenya awakuchukua hats nusu SAA wakakubali wenyeweAta Mimi hapa naweza Tumia jina kama "msukuma akili uchwara" ilhali Mimi sio msukuma wala mtanzania bali mkenya halisi. It's as simple as that
Mwongeleshe kikikuyu ndiyo utajua ujui wenzako wakongwe hapa jf walinyosha mikono na kuomba poo walipo sema siyo mkenyaAko biased sana story za kenya. Tena ako na ile kiswahili ya tz. Nashuku ni wale wasee wa ccm naskia wako apa
Nikuje nikuchukue nikutembeze Kenya Hadi Turkana.
😂😂😂😂 Ati maendeleo wakati kilomita 100 zimewashinda. Mnarogwa mna nini LDC?Kwa maendeleo ya tz wakenya sasa jifunzeni uchwawi la sivyo mtaumia sana na tz labda mkijaribu kuturoga mtafanikiwa kupunguza maumivu
Vipi bado hujazaa dume?, naona uchungu unazidi kiwango.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ati maendeleo wakati kilomita 100 zimewashinda. Mnarogwa mna nini LDC?
Mwongeleshe kikikuyu ndiyo utajua ujui wenzako wakongwe hapa jf walinyosha mikono na kuomba poo walipo sema siyo mkenya
Kikuyu ni international language as of now. Juzi uko twitter nmeona wajerumani wakiongea kikuyu very fluently kwa hivo siwezi laumu mtz kukijua considering social influence ambayo Kenya iko naye uko tz. Ni vizuri lugha yetu inaspread. Sijui kama kisukuma kinatoka nje ya mipaka za mkoa. Personally kabla niingie jamii forums sukuma nlikua najua ni za kutafuna ugali pale kwa mayai.Mwongeleshe kikikuyu ndiyo utajua ujui wenzako wakongwe hapa jf walinyosha mikono na kuomba poo walipo sema siyo mkenya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushamba iko TZ ni ya kimiujizaAnd who told Magu that the quality of a rail is tested by hand [emoji113]!? Jamaal wa push ups.
View attachment 1146805
It is becoming common in Bongoland that even roads quality is test by hand [emoji113].
View attachment 1146806
I have heard of a leader who has dug up in the middle of a road with a fork jembe to check the quality. [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakuambia hii ni ya testing bado iko njiani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jifunguo dume tu. Burret train iko wapi? [emoji24][emoji24]
Huku kwetu hatujui neno kabila. Ni watu wapumbavu pekee ndio wenye kuendeleza na kuthamini kabila. Kwetu tunatumia kabila kama kitu cha kutaniana tu.Kikuyu ni international language as of now. Juzi uko twitter nmeona wajerumani wakiongea kikuyu very fluently kwa hivo siwezi laumu mtz kukijua considering social influence ambayo Kenya iko naye uko tz. Ni vizuri lugha yetu inaspread. Sijui kama kisukuma kinatoka nje ya mipaka za mkoa. Personally kabla niingie jamii forums sukuma nlikua najua ni za kutafuna ugali pale kwa mayai.
Ni lini Tanzania ilikuwa na reli ya upana wa SGR?inashangaza sana watu wana flaunt SGR as if ni kitu kipya sana nchini.
Umeshasema testing sasa cha ajabu nini? Umeshawahi ona crash test inavyofanywa? Huwa wanaweka binadamu kuangalia kama airbag inafanya kazi?Huwez tengeneza reli halafu testing ikafanywa na kitu tofauti ambacho hakiendani na features za hyo reli...hao ni wataalamu bana...
kama umewahi kufanya engineering project yoyote utaelewa kuwa kwenye system moja kuna sub-systems nyingi ambazo unatakiwa kuzitest moja moja.Yani sgr ya umeme inajaribiwa hta bila poles za ku support huo umeme hazipo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kwasababu wanatest mechanical na civil work ya reli.Kwanini hamna nguzo za umeme hapo???
1) Most peaceful NationSo what is the X-factor that can really wow Tanzania let alone East Africa in your SGR