Mean While; Tanzania is Testing the SGR

Mean While; Tanzania is Testing the SGR

Yenyewe hawa wasee hubebwa cabbage. The project iko bado 46% phase one, na wanajichocha ni kama mbogi ya kimonyoski. Walahi hii kama si ufala ya kuzaliwa, iko mtu aliwawekea dumba na huyo mtu akakanyuria. For those who will not understand the statement above, please contact a Kenyan near you.
 
Ata Mimi hapa naweza Tumia jina kama "msukuma akili uchwara" ilhali Mimi sio msukuma wala mtanzania bali mkenya halisi. It's as simple as that
Mwongeleshe kikikuyu uone kama utamweza wenzakp waliwai kubishana naye kuwa siyo mkenya awakuchukua hats nusu SAA wakakubali wenyewe
 
Kwa maendeleo ya tz wakenya sasa jifunzeni uchwawi la sivyo mtaumia sana na tz labda mkijaribu kuturoga mtafanikiwa kupunguza maumivu
Nikuje nikuchukue nikutembeze Kenya Hadi Turkana.
 
Kwa maendeleo ya tz wakenya sasa jifunzeni uchwawi la sivyo mtaumia sana na tz labda mkijaribu kuturoga mtafanikiwa kupunguza maumivu
😂😂😂😂 Ati maendeleo wakati kilomita 100 zimewashinda. Mnarogwa mna nini LDC?
 
Mwongeleshe kikikuyu ndiyo utajua ujui wenzako wakongwe hapa jf walinyosha mikono na kuomba poo walipo sema siyo mkenya
Mwongeleshe kikikuyu ndiyo utajua ujui wenzako wakongwe hapa jf walinyosha mikono na kuomba poo walipo sema siyo mkenya
Kikuyu ni international language as of now. Juzi uko twitter nmeona wajerumani wakiongea kikuyu very fluently kwa hivo siwezi laumu mtz kukijua considering social influence ambayo Kenya iko naye uko tz. Ni vizuri lugha yetu inaspread. Sijui kama kisukuma kinatoka nje ya mipaka za mkoa. Personally kabla niingie jamii forums sukuma nlikua najua ni za kutafuna ugali pale kwa mayai.
 
So what is the X-factor that can really wow Tanzania let alone East Africa in your SGR
 
And who told Magu that the quality of a rail is tested by hand [emoji113]!? Jamaal wa push ups.
View attachment 1146805
It is becoming common in Bongoland that even roads quality is test by hand [emoji113].
View attachment 1146806

I have heard of a leader who has dug up in the middle of a road with a fork jembe to check the quality. [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushamba iko TZ ni ya kimiujiza
 
Kikuyu ni international language as of now. Juzi uko twitter nmeona wajerumani wakiongea kikuyu very fluently kwa hivo siwezi laumu mtz kukijua considering social influence ambayo Kenya iko naye uko tz. Ni vizuri lugha yetu inaspread. Sijui kama kisukuma kinatoka nje ya mipaka za mkoa. Personally kabla niingie jamii forums sukuma nlikua najua ni za kutafuna ugali pale kwa mayai.
Huku kwetu hatujui neno kabila. Ni watu wapumbavu pekee ndio wenye kuendeleza na kuthamini kabila. Kwetu tunatumia kabila kama kitu cha kutaniana tu.
 
inashangaza sana watu wana flaunt SGR as if ni kitu kipya sana nchini.
Ni lini Tanzania ilikuwa na reli ya upana wa SGR?
Huwez tengeneza reli halafu testing ikafanywa na kitu tofauti ambacho hakiendani na features za hyo reli...hao ni wataalamu bana...
Umeshasema testing sasa cha ajabu nini? Umeshawahi ona crash test inavyofanywa? Huwa wanaweka binadamu kuangalia kama airbag inafanya kazi?
Yani sgr ya umeme inajaribiwa hta bila poles za ku support huo umeme hazipo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kama umewahi kufanya engineering project yoyote utaelewa kuwa kwenye system moja kuna sub-systems nyingi ambazo unatakiwa kuzitest moja moja.
Kwanini hamna nguzo za umeme hapo???
Ni kwasababu wanatest mechanical na civil work ya reli.
 
So what is the X-factor that can really wow Tanzania let alone East Africa in your SGR
1) Most peaceful Nation
2) Very stable politically
3)Zero tribalism
4) Africa food basket
5) Fast economic growth
6) Highest Economic inclusiveness
7)Ability to carry out big projects using its resources
 
Back
Top Bottom