babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wanajua sema tu thinking capacity yao ndogo sana inawaza chuki, tribalism nkHahahaha,
1)We feed you
2) We are the source of your industrial raw materials
3)We are the fastest growing economy in the EAC
4)We pay out of pockets for our big projects
5) We have sufficient food for the next ten years
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha.
Kuna tests nyingi hiyo ya sasa ni kupima kama reli iko sawa baada ya kufanya flash butt welding na kupitisha tamping machine. Watakuja kufanya test ya signaling na power transmission baadae. Mbona hukuuliza maswali yako wakati wanafanya concrete strength test ya mataruma?Nikuletee testing ya bullet train hapa ujione km utaona huo uchafu mliouleta hapa...
Halafu unaniletea comparison za kijinga kwel...shule yenu hv inawafundisha kujadili mada hvo....
Au wewe niletee reli ya umeme ambayo imefanyiwa testing kihivo
kwenye picha naona bendera ya tz na China...nilidhani hamkuchukua deniGuys this is just a test cruise with a testing locomotive.
Just relax, as more will come
View attachment 1146605View attachment 1146616View attachment 1146617
Mkiendelea na ujinga wenu, tutazuia Pamba ili kile kiwanda cha Rivatex mkabomoe mitambo mkauze kama chuma chakavu.4% economic growth.
hamna bendera ya China!kwenye picha naona bendera ya tz na China...nilidhani hamkuchukua deni
hapana bro, ile ni bendera ya Turkey. Na si china. Ukiangalia vizuri, ina crescent.
Mtonyo wa mazugumzo ChatoAdvertise Brookside milk.
Mtonyo wa mazugumzo Chato
1:atamwombea jaguar msamaha
2:atamwomba Magufuli wazidishe ushirikiano wa kindugu na kiuchumi
3: msaada wa kiufundi wa kupigana na ufisadi
4: kama Tz itaendelea kuwauzia Kenya mahindi
Hahahaha, ujuaji wenu ndio uliowafanya kushindwa kuwekeza katika Galana kulalu ili muwe na uhakika wa chakula, mkachukua pesa yote mkaipoteza katika ujenzi wa reli ya zamani ambayo haina faida yoyote zaidi ya kuitia hasara nchi yenu, huku mkiendelea kuzika watu kutokana na njaa.Ujinga mtupu. Badala ya watu wawekeze kwenye elimu kwanza wanajenga miundombinu ambayo italeta hasara .Illiteracy iko juu sana.
Waliposikia Kenya imejenga reli nao wakakurupuka
Kuwaonyesha tunaweza zaidi yenu ndio maana ni ya umeme yenu si ya mafuta mazito? πππUjinga mtupu. Badala ya watu wawekeze kwenye elimu kwanza wanajenga miundombinu ambayo italeta hasara .Illiteracy iko juu sana.
Waliposikia Kenya imejenga reli nao wakakurupuka
Hamna watu wamewahi kufa njaa Kenya. Lakini huko kwenu ni wengi wameaga duniaHahahaha, ujuaji wenu ndio uliowafanya kushindwa kuwekeza katika Galana kulalu ili muwe na uhakika wa chakula, mkachukua pesa yote mkaipoteza katika ujenzi wa reli ya zamani ambayo haina faida yoyote zaidi ya kuitia hasara nchi yenu, huku mkiendelea kuzika watu kutokana na njaa.
Hapo Nairobi?Congrats Tz..Reli ikikamilika naja hapo kuonja asali ya Reli-umeme..tumezoea gari moshi humu
kwenye picha naona bendera ya tz na China...nilidhani hamkuchukua deni
Mnawaza China Kwani amewajeruhi Sanakwenye picha naona bendera ya tz na China...nilidhani hamkuchukua deni
Hamna watu wamewahi kufa njaa Kenya. Lakini huko kwenu ni wengi wameaga dunia
Hamna watu wamewahi kufa njaa Kenya. Lakini huko kwenu ni wengi wameaga dunia