Sasa kati yetu na nnynyi akina nani wanafiki..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Na ukumbuke kumsaidia mwenzio anapokumbwa na matatizo sio shobo ujue..kisha wasema haziwezi kamilisha bungalow wakati nyinyi mlishindwa kugawa tsh50 million kw kila kijiji...si mgelisaidia watu wenu kwanza kuliko kujifanya wajuaji...ukisaidia haimaanishi km kwako umemaliza..la hasha, ni utu na ukarimu kw ujirani mwema...
Yani kw hili la kusaidiana...ndio mmeonyesha chuki wazi wazi dhidi ya kenya