Meanwhile Raila anachana mbuga.

As long as we have free,fair and credible elections, whoever wins fair and square will be OUR president! I expect you to raise your new flag high at the swearing in of Uhuru Muigai Kenyatta.Tukutane kwa debe!
 
Mudavadi,Kalonzo na Raila team moja at least this time kura za wakamba,wajaluo na waluhya zitawazidi kikuyu na kalenjin as we know Kenyans vote their tribes first.NASA will win this election.

Prof. P. Lumumba alisema kwenye uchaguzi wao ni kama vile inafanyika census ya makabila gani yana watu wengi zaidi ya mengine. Full ukabila wakati wa votes casting. Baada ya hapo nothing changes. ''Nyani ni walewale sema tu msitu ndo unataka kubadilishwa''
 
Mudavadi,Kalonzo na Raila team moja at least this time kura za wakamba,wajaluo na waluhya zitawazidi kikuyu na kalenjin as we know Kenyans vote their tribes first.NASA will win this election.
Nadhani angalau huo mseto utavunjilia mbali ukabila na nguvu za kimamlaka walizojivika wakikuyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sam,Raila si ndo mmoja wa wale jamaa tulikuwa tunaambiwa kuhusu tukiwa shuleni?Kwa lugha ya 'kilami' wanaitwa 'future leaders of tommorrow'! Bado wakati wake haujafika bana! Hehehe😀 Forgive me bro,just couldnt help myself!
Tulia 9/8 mtawasaidia na makoti. Watapigwa baridi mpaka wakome.
 
ukabila unaifanya kukua kiuchumi kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…