Meanwhile Raila anachana mbuga.

Meanwhile Raila anachana mbuga.

Never never never. Odinga will NEVER be the president of Kenya. It is the same as Lowassa who will never lead TZ as president. Wamemkufuru Mungu wa mbinguni na ndio hivyo. Pole zao. Period.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By supporting mandagos bid for governorship NASA made inrounds on many undecided voters ....Meru ndio Nashuku itakuaa decider but Nakuru i have traversed this county it will be Uhuru 70 Raila 30

Sent using Jamii Forums mobile app
This time Raila has regained convincing power and thus can accumulate about 45 to 48 percent of all votes (according to me)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka kura za maoni zionyeshe Hillary Clinton atashinda dhidi ya Trump, nimekosa imani na kura za maoni duniani kote! Hao think-tank hawana tofauti na hawa Twaweza wetu.
Alishinda...alishinda kwa wingi wa kura.
 
Kwa mtazamo huo hata TZ ilikuwa ivyo. Tusubir baada ya tar 8. Mungu awalinde kwenye uchaguzi huu. Uwe wa haki na Amani
 
Si unajua mara ya mwisho mudavadi alijitenga ,Kumbuka Uhuru alishinda kwa asilimia 50.07,Raila alipata 43.31,Mudavadi asilimia nne,hivyo wakihimiza sana Raila aweza shinda.
Definetly kura za Mudavadi zikihamia kwa Rao basi Ikulu ni yake kabisa....ila pia kwa hio miaka mimne Uhuru nae japo sio sana imepenya ngome za upinzani...kama uchaguzi ukiwa huru na haki bila kumpedelea yeyote basi atapatikana Raisi mwenye kukumbalika na Wakenya wengi...Mungu awape subira na ustimilivu kipindi hiki Wakenya na wasikumbali matakwa na tamaa za wachache kuvuruga amani...
 
Huko ni sawa na kushinda njaa😀. Pollsters walionesha atashinda uchaguzi.
Exactly, mara nyingi kwenye historia ya US, anayeshinda popular votes ndiyo huwa mshindi wa electoral college. Kwenye historia imetokea mara mbili tatu hivi kama sikosei. Pollsters zilionyesha atashinda uchaguzi based on popular votes. Kama hutambui maana ya electoral college, itakuwa vigumu kukuelewesha zaidi.
 
Exactly, mara nyingi kwenye historia ya US, anayeshinda popular votes ndiyo huwa mshindi wa electoral college. Kwenye historia imetokea mara mbili tatu hivi kama sikosei. Pollsters zilionyesha atashinda uchaguzi based on popular votes. Kama hutambui maana ya electoral college, itakuwa vigumu kukuelewesha zaidi.
Wapi niliposema sielewi maana ya Electoral college? Mimi nabaki na msimamo wangu, pollsters wote ni wapiga ramli. Clinton vs Trump was not a popularity contest, rather an election where a winner is declared by winning electoral college.
 
Wapi niliposema sielewi maana ya Electoral college? Mimi nabaki na msimamo wangu, pollsters wote ni wapiga ramli. Clinton vs Trump was not a popularity contest, rather an election where a winner is declared by winning electoral college.
Maelezo yako hayaonyeshi kwamba unaelewa maana ya electoral college na tofauti kati yake vs popular vote.

Pollster siyo ramli bibie, ni scientific measure, ina uwezo wa kudetect from general population kuhusiana na watakavyopiga kura. Na nimekwambia kuwa ni mara chache sana zinazohesabika katika historia ya zaidi ya miaka 200 toka marekani ipate uhuru, ambapo rais anashinda popular vote lakini anashindwa electoral college votes. Mara ya mwisho kabla ya Clinton vs Trump, ilitokea wakati wa G.W Bush Vs Al Gore year 2000.

Katiba ya marekani inataka mgombea ashinde vyote or at least electoral college ambayo hata hivyo hai reflect general population. It's their system. Walitaka states ndogo ziwe na say.

However, bottom line, pollster haiwezi kureflect anything about electoral college. Na pollster pia haikukosea.

Uchaguzi ungekuwa kwenye system kama yetu, basi mama Clinton angekuwa mshindi.

Mwisho, sipendi kuondoa imani yako popote pale. Hapa ni hoja kwa hoja tu wala si vihoja. Tunaeleweshana tu.
 
Back
Top Bottom