Hana akiliBwashee mbona huwa unapenda kuchafua hali ya hewa kila mahali?
Karibu sana, na wengi mnakaribishwaTaarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA.
Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu .
View attachment 2732934
TOA MAONI YAKO
Kwamba Chadema haina watu huo ni uongoKwahiyo ziara yote hiyo kwa nchi nzima ni kutafuta tu wanachama wa kawaida? Lazima tukubali kwamba CDM haina watu wa kutosha kufaa kuwa viongozi kwa nchi nzima. Tukiendekeza chuki tutarudi kule kule ambapo CDM inakuwa na Wabunge wachache wazuri mno na kukosa Wabunge wengi wenye uwezo.
Pokea watu wenye uwezo ili CCM ikae pembeni. Ubinafsi na kudeka hapana
AmenMungu Ibariki CHADEMA ila tuwe makini na makapi
Very good decision. The dead leaf should be immediately abandoned by Wananchi across the country for the green-yellowish chameleon lizard to succumb to its own death.Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA.
Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu .
View attachment 2732934
TOA MAONI YAKO