Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

CDM ndiyo tumaini pekee lilikobakia kwa Watanzania wote
 
Huyu Kama amehamia akawe mwanachama wa kawaida asiwe anafata cheo Hawa wafata vyeo huwa vyanzo vya migogoro kwenye vyama
 
Kwahiyo ziara yote hiyo kwa nchi nzima ni kutafuta tu wanachama wa kawaida? Lazima tukubali kwamba CDM haina watu wa kutosha kufaa kuwa viongozi kwa nchi nzima. Tukiendekeza chuki tutarudi kule kule ambapo CDM inakuwa na Wabunge wachache wazuri mno na kukosa Wabunge wengi wenye uwezo.

Pokea watu wenye uwezo ili CCM ikae pembeni. Ubinafsi na kudeka hapana
Kwamba Chadema haina watu huo ni uongo
 
Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA.

Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu .

View attachment 2732934

TOA MAONI YAKO
Very good decision. The dead leaf should be immediately abandoned by Wananchi across the country for the green-yellowish chameleon lizard to succumb to its own death.

Transformation is forthcoming very soon.
 
Back
Top Bottom