Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Nilikuwa nakuheshimu sana, ila kwa sasa nakudharau kama Jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Bro Pascal!
ume asses impact ya bandiko lako?
 
Pathetic

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna amani bila haki, bora tuishi kama Libya lakini siyo kuongozwa na fisiemu, tunechoka

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maoni yangu, aina ya misamiati ya lugha ya kingereza iliyotumika katika makala haya ya SOPHIE NEIMAN si ya mtu mwenye uzoefu wa matumizi ya lugha ya kingereza kwa mazungumzo.
 
"If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality" - Desmond Tutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayala keep it up. You are doing a great job for the wider interests of this beautiful country. Don't expect cheers and congrats from wicked people whose eyes see not beyond their parties interest.

Please be courageous, there are people who are watching and bebefiting from your valuable contribution.

Aluta continua
 
Mwaka huu MABEBERU WATAZAA NA MTU

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mayalla mbona wewe unatosha kukanusha, unataka nani akanushe?
Kama Rais, mawaziri, mabalozi una access nao.
Kao nao washauri wajibu hizo kashfa.
Huna haja ya kuja humu, au unataka ufahamike na watu kuwa ni mtetezi wa serikali?

Elimu yote uliyonayo usukusu haujakutoka tu kama bwana yule!!!!!
 
Paskali nimeona hoja zako za utetezi vizuri sana. Ni hivi, uchaguzi huu ukiwa huru na haki utakuwa na hatari zaidi kwa ccm. Mambo yafuatayo yatatokea, iwapo hata ccm itashinda, lakini haiwezi kushinda kuendana na matamanio yao. Hali hii itawafanya ccm kukataa kukubali matokeo yasiyobeba matamanio yao, na kuishia kuutia doa uchaguzi wote.

Kwa vyovyote vile idadi ya wabunge wa upinzani itakuwa kubwa, jambo ambalo ccm hawako tayari kuliona likitokea, maana kutawanyima uwanja wa kufanya chochote kama watakavyo. Hivyo lazima watavuruga mchakato. Na iwapo wapinzani wataamua kusimamia mshindi wa halali kutangazwa, lazima kutatokea machafuko na hata vifo. Bado wiki 2.
 
Sasa hivi mmechelewa hata mlete mabandiko mia watu wanakiu na mabadiliko walihaidiwa mengi na matarajio yalikuwa mengi ila maisha ya watanzania kila siku heri ya jana na ukisema sana wanakuambia ulikuwa mpga dili wanasahau kuna wamachinga n wakulima nao ni wapiga dili safari hii ccm wanahali mbaya kuliko chaguzi zote na huo ndio ukweli mchungu
 
Tunapoelekea ktk kipindi hiki cha kampeni za lala salama nashauri vyombo vyetu vya ulinzi viwe macho masaa 24 hakuna kulala, mipaka yako yote rasmi na isiyo rasmi ilindwe.....maaana maadui wasio ipenda Nchi yetu wanatafuta nafasi yoyote ktk kipindi hiki kutuingiza ktk vurugu.

Njia pekee ya kuwajibu hao wasio itakia mema nchi yetu ni kumpigia Kura za kutosha Magufuli October 28,
naamini Magufuli atashinda kihalali wala hakuna sababu ya kufikiria suala la kuiba kura wala mizengwe yoyote kwa sababu Magufuli amejiwekea rekodi nzuri ktk kipindi chake cha miaka5.
 
Itisha maandamano tukawatoe kwenye vyumba vyao vya kurushia matangazo, umenikumbusha kuangalia al-jazeera nione kama bado wanaendelea kuirusha laivu...
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…