Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Nimesoma hiyo article sijaona sehemu yeyote ambayo mwandishi amesema uongo.
pengine mayalla umeona hii ndiyo njia pekee ya kujipendekeza ili ukumbukwe Kwenye uteuzi....mwenzio Mzee Mwanakijiji ameshajifia kifikra kaona Bora atulie Tu kuliko kujipendekeza
JPM mwangalie MAYALA NJAA ITAMUUA AMEHANGAIKA SANA MIAKA MITANO YOTE AMETOKA KAPA
 
Bro pascal hizi zote in propaganda unafanya. Siku hao mabeberu watatuchukia kweli watasitisha uletaji Wa ARV. Acheni kuwazushia Mara mabeberu wamefanya hivi Mara vile wakati wanamiliki chanjo zote za taifa lako.

Tupambane wenyewe wala hakuna beberu anayetuchukia. Sijawahi kuamini kwamba unavizia cheo kutoka kwa mheshimiwa. I wish you doprove me wrong bro!
 
Wewe ndio utakuwa baby wake unapiganiwa ushinde huo uraia, Lissu anautaka Urais.
Acheni kutupotezea muda bhana! Huyo kibaraka wenu hafiki popote. Ndio maana nawapongeza sana ccm kusoma alama za nyakati na kumfanya rais wetu asihangaike kupoteza muda na rasilimali kupiga kampeni eti kisa anashindana na huyo kibaraka.!

Hapati hata asilimia 20 huyo.
 
Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?!.
Msemaji wa serikali anaweza kusema jambo bila idhini ya boss wa Ikulu? wewe pascal akili yako inayumba sana siku zinaposongambele au kuna maslahi unayatafuta? be a man of principles to live in dignity.
 
Back
Top Bottom