Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo ni kama huwa mna akili kidogo sana, sasa hapa umeongea nini la maana?Acha kupapatika wewe, tulia sindano ikuingie[emoji382][emoji382][emoji382]
JPM alisema Mayala kwa kisukuma ni NjaaaKuna shida kwa Mayalla
Shida IPO mark my worlds
JPM mwangalie MAYALA NJAA ITAMUUA AMEHANGAIKA SANA MIAKA MITANO YOTE AMETOKA KAPANimesoma hiyo article sijaona sehemu yeyote ambayo mwandishi amesema uongo.
pengine mayalla umeona hii ndiyo njia pekee ya kujipendekeza ili ukumbukwe Kwenye uteuzi....mwenzio Mzee Mwanakijiji ameshajifia kifikra kaona Bora atulie Tu kuliko kujipendekeza
Tena kubwa sanaaaaKuna shida kwa Mayalla
Shida IPO mark my worlds
Hivi ushawahi kuja na uzi unao lalamikia TBC kuonesha mikutano na mambo ya ccm tu au mtenda akitendewa huwa nongwa.Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu,
Acheni kutupotezea muda bhana! Huyo kibaraka wenu hafiki popote. Ndio maana nawapongeza sana ccm kusoma alama za nyakati na kumfanya rais wetu asihangaike kupoteza muda na rasilimali kupiga kampeni eti kisa anashindana na huyo kibaraka.!Wewe ndio utakuwa baby wake unapiganiwa ushinde huo uraia, Lissu anautaka Urais.
"AFADHALI YA MKOLONI"......................... by UDSM students 1967Ulishajibainisha rangi yako so tulia watanzania tufanye maamuzi October 28, bora beberu waje tu kuliko ubeberu mnaotufanyia CCM tunasema tumechoka
Tunamtaka uyo mkoloni wakileo aje tumuone asiwe anaishia magogoni tu"AFADHALI YA MKOLONI"......................... by UDSM students 1967
Msemaji wa serikali anaweza kusema jambo bila idhini ya boss wa Ikulu? wewe pascal akili yako inayumba sana siku zinaposongambele au kuna maslahi unayatafuta? be a man of principles to live in dignity.Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?!.