Mech ya Yanga Vs Mtibwa ipo au haipo??

Mech ya Yanga Vs Mtibwa ipo au haipo??

Mayele ni Mtu na Nusu sio kwa kukusanya vile kijiji hadi Kipa kadondoka kabla mpira haujazama golini
 
Na ndio mana una pengo,
Ningekuoa,sema huna malengo ,
Kama ulivo na tabia ya uongo,
Tulia basi nikupe michango.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu niache mie nina furaha zangu Wananchi tumeshinda na Ligi tunaongoza kwa point 10
[emoji169][emoji172]
 
Back
Top Bottom