bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Daa sijajua kama nitakuliza jamani pole ila kuna kale kamsemo kanasema hata ukilia viboko utakula tuu ila mimi nakupa pole sana na viboko hutakula nlikua nataka niongeze na ile ya 8-2 ila wacha niache..Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
nakumbuka game hiyo barca ya Akina henrik Larson yule Msweden kama sikosei alitupia,Poleni sana iko siku nanyi mtakuja beba hiyo ndoo.