Mechi 3 bora za wakati wote!

Daa sijajua kama nitakuliza jamani pole ila kuna kale kamsemo kanasema hata ukilia viboko utakula tuu ila mimi nakupa pole sana na viboko hutakula nlikua nataka niongeze na ile ya 8-2 ila wacha niache..

nakumbuka game hiyo barca ya Akina henrik Larson yule Msweden kama sikosei alitupia,Poleni sana iko siku nanyi mtakuja beba hiyo ndoo.
 
Italy 1 South korea 2 world cup 2002 Italia anaanza funga Korea anasawazisha na kufunga la pili zile dakika za goli la dhahabu.

Italy nje mpka wanamtimua mchezaji wa South korea aliyekua akicheza italia kama sikosei ni Perugia
 
Germany vs Italy semi final world cup 2006.....
Germany anakufa goli 2 kwa 0 ndani ya dk ya 118 na 120....

Marco materazzi anafunga bonge la bao baada ya kupokea pande maridhawa kwa el maestro pirlo anangalia kushota anapiga kulia.
goli la kwanza alifunga Fabio Grosso sio Marco materazzi
 
hUU NI MTAZAMO WANGU...



1. AC MILAN VS LIVERPOOL UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL 2007


Hiyo namba 2 pamoja na ushabiki wangu kwa Chelsea nadhani ndiyo namba moja kwa mashabiki wengi wa mpira...that is true spirit.


2. CHELSEA vs BAYERN MUNICH UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2012 FINAL


....these matches huwa zinanipa nguvu ya kuendelea kupigana maana najua hata pale ambapo dunia nzima itaamini siwezi, kama mimi ninaamini, inatosha...na nitafanikiwa!!! These are matches to talk about...


3. CHELSEA VS BARCELONA UEFA GAME MAY 2009


Mechi ambayo inanifundisha kuwa the world is not fair...nyanyuka pangusa vumbi...move on with life!!!
 
Daaah! Hii kwakweli ndo listi bora kwangu! Hizi mechi sitokaa nizisahau
 
France V/S Italy 2006


Hii mechi ilienda kinyume sana na mategemeo ya wengi...ingawa mimi nilifurahia Italy kushinda!!! [HASHTAG]#pirlo[/HASHTAG] [HASHTAG]#buffon[/HASHTAG]


Ghana vs Uruguay world cup South Africa 2010 sitamsahau asamoah gyan aisee

Dah mimi sitomsahau Suarez..na sitokaa nimpende..wampe mazawadi yote hata akipewa Ballon D'or kwangu hataingia kwenye orodha ya wachezaji bora ever!!!!!
 
Manchester United vs Bayern Munich Champions league final 1999
hiyo game sitakaa niisahau. Mghana Samuel Kufour dah! jamaa nahisi ni kama alikua na machungu kuzidi wajerumani wote katika ile fainali.

Pia game nyingine ambayo sitaweza isahau (not popular teams) ilikua mechi ya league kati ya Bolton wonders ya kina Mark Fish vs Crystal Palace.
 
Duh kumbe Nifah tupo chama moja
 
Ac milan vs derpotivo hii ndio bonge la mechi
 
nililala baada ya half time
Hata mimi nikijua mechi imeisha
Kuweka sawa.

Goli la kwanza alifunga del piero na la pili Fabio grosso baada ya kupata back pass ya andrea pirlo.

Tuko pamoja lilikuwa bonge la game, too sensational
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…