Nakumbuka mama yang alilia sku ile japo sio mpenz wa soka sanaGhana vs Uruguay world cup South Africa 2010 sitamsahau asamoah gyan aisee
Ile mechi acha kabisa. Suarez aliboa watu wengi sana. Ile ndio ilikuwa nafasi kwa timu ya Africa kuingia nusu fainaliHii mechi ilienda kinyume sana na mategemeo ya wengi...ingawa mimi nilifurahia Italy kushinda!!! [HASHTAG]#pirlo[/HASHTAG] [HASHTAG]#buffon[/HASHTAG]
Dah mimi sitomsahau Suarez..na sitokaa nimpende..wampe mazawadi yote hata akipewa Ballon D'or kwangu hataingia kwenye orodha ya wachezaji bora ever!!!!!
It was Uruguay against the world ki ukwel kila mtu alitaka Ghana washindeNakumbuka mama yang alilia sku ile japo sio mpenz wa soka sana
Hii Game hata Mimi sikulala siku hiyo.........Man utd 1- 6 man city
2011
Asee hii mechi sji sahau
Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Ilkua ni mech hatar sana skuamin kuona bimkubwa analia nikahis kama vle ni Tanzania ndo tunacheza hasa A. Gyan anavyokosa penat tenaIt was Uruguay against the world ki ukwel kila mtu alitaka Ghana washinde
Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Ghana vs Uruguay world cup South Africa 2010 sitamsahau asamoah gyan aisee
Ni portugal v france, wapi nuno gomez, jao pinto, rui coster, simao, victor baiya, xavier, miguelItaly vs France Europe 2000 semi final France wanapata penati DK za nyiongeza baada ya beki xavieri kushika ndani ya 18afu inapigwa Na Zidane. Figo anavua T-shirt baada kuona zizou anaweka mpira vzr
Brazil 1 , Mnyama 7 ... Hii ninayo kwa external full hd naiangaliaga mara kwa mara
Germany vs brazili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
zimejiposti