Mechi 3 bora za wakati wote!

Mechi 3 bora za wakati wote!

Hii mechi ilienda kinyume sana na mategemeo ya wengi...ingawa mimi nilifurahia Italy kushinda!!! [HASHTAG]#pirlo[/HASHTAG] [HASHTAG]#buffon[/HASHTAG]

Dah mimi sitomsahau Suarez..na sitokaa nimpende..wampe mazawadi yote hata akipewa Ballon D'or kwangu hataingia kwenye orodha ya wachezaji bora ever!!!!!
Ile mechi acha kabisa. Suarez aliboa watu wengi sana. Ile ndio ilikuwa nafasi kwa timu ya Africa kuingia nusu fainali
 
Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
images
images
DSC_0521.JPG

zimejiposti
 
Namba 3 ndio balaa kwa jinsi walivyokuwa milan anaongoza kwa aggregate 3 baadae anafungwa 4.timu ambayo ilikusanya watu wabishi kama maldini,nesta,gattuso,costacurta,dida
 
Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK

So sad My dada Nifah pole sana... so karibu tujumuike pa1 Kwa mchawi wa soka kuwahi kutokea ulimwenguni, La pulga in english Atomic flea, in french puces atomique, mpira wenyewe unatamani kila baada ya sekunde umfikie yeye.
 
Italy vs France Europe 2000 semi final France wanapata penati DK za nyiongeza baada ya beki xavieri kushika ndani ya 18afu inapigwa Na Zidane. Figo anavua T-shirt baada kuona zizou anaweka mpira vzr
 
Italy vs France Europe 2000 semi final France wanapata penati DK za nyiongeza baada ya beki xavieri kushika ndani ya 18afu inapigwa Na Zidane. Figo anavua T-shirt baada kuona zizou anaweka mpira vzr
Ni portugal v france, wapi nuno gomez, jao pinto, rui coster, simao, victor baiya, xavier, miguel

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Brazil 1 , Mnyama 7 ... Hii ninayo kwa external full hd naiangaliaga mara kwa mara

mkuu we acha tu , hakuna siku iliyoniuma na kuisahau kama siku ya final 2014, dakika za lala salama tukakalishwa chini, matokeo yakawa Argentina 0-1 mabingwa...kwakweli sina hamu.ukizingatia defence yetu ilikua imara sana kana kwamba walishindwa kupenya kiurahisi,huku otamendi,marcos rojo,garay,.dah basi tu. GORTZE alituhuzunisha waargentina that day......
 
Back
Top Bottom