Yule jamaa si anapenda hela hatak magazetYule naye ubishoo umemzidi, hivi sasa yupo Al Ahli' Dubai, on from loan shanghai....
Kwekweli suarez alicho wafanyia Ghana hadi kuku waliinamisha vichwa kwa huzuni.. nakumbuka mamdogo na mmewe si watu wa mpira lakini suarez aliwatoa chozi..kwakweli suarez ni mtu wa ajabu
Hapo kwa Aseno tumefanana kila kituUngejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Mechi yenu na Barcelona ilikuwa 2006.Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
wengi watamsifia Gerrard na kipa Dudek. Ila kwasisi watu wa mpira didi hamann ndio aliefanya kazi kubwa ya kukata mawasiliano ya kiungo cha Milan.haa haa mkuu nikisikiaga jina hili (Instabul) huwa kumbukumbu zinareflect na siku husika. Much respect kwa kikosi kile under Steven Gerald
wengi watamsifia Gerrard na kipa Dudek. Ila kwasisi watu wa mpira didi hamann ndio aliefanya kazi kubwa ya kukata mawasiliano ya kiungo cha Milan.
Watu mna kumbukumbu haswa1. Ac Milan 3-3 Liverpool
2. Man utd 2-1 Bayern Munich ( 1999 )
2. Man City 3-2 QPR
Aguerooooooo anawapa ubingwa dakika za mwisho
4. Ureno Vs Uholanzi ( Kombe la Dunia 2006) Inajulikana pia kama Battle of Nuremberg
Kadi nyekundu 4 na njano 16.
Germany vs Italy semi final world cup 2006.....
Germany anakufa goli 2 kwa 0 ndani ya dk ya 118 na 120....
Fabio Grosso anafunga bonge la bao baada ya kupokea pande maridhawa kwa el maestro pirlo anangalia kushota anapiga kulia.
Alesandro del piero ana wamalizia wajerumani kwa goli safi baada ya counter attack iliyoanzia kwa canavaro, luca toni, gilardino na kumkuta del piero na kumgalagaza jens lehman. Hapo ndipo ndoto za wajerumani zilipoishia.
Natamani kuwawekea clip yake ila jf apps ni jipu linapokuja suala la ku-upload video
Hii game naikumbuka vizuri sana, ndani ya dakika 9 za mwanzo, arsenal ilikua kifua mbele kwa magoli 3-0. Van persie alikua wa moto balaa.Newcastle 4 Arsenal 4 febr 5 2011 Arsenal anatangulia kufunga goli zote 4 akiwapo Van parsie then newcastle wanarudisha yote Tiote akisawazisha
Acha kabisa Dada yangu.Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?