Mechi 3 bora za wakati wote!

Mechi 3 bora za wakati wote!

Ha
Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Hapo kwa Aseno tumefanana kila kitu
 
Mechi yenu na Barcelona ilikuwa 2006.
Vp hukumbuki mechi ya Simba na Yanga ile ya 3-3 ?

Sema ukweli wako..!!
 
haa haa mkuu nikisikiaga jina hili (Instabul) huwa kumbukumbu zinareflect na siku husika. Much respect kwa kikosi kile under Steven Gerald
wengi watamsifia Gerrard na kipa Dudek. Ila kwasisi watu wa mpira didi hamann ndio aliefanya kazi kubwa ya kukata mawasiliano ya kiungo cha Milan.
 
1. Ac Milan 3-3 Liverpool
2005-Liverpool-v-AC-Milan.jpg

2. Man utd 2-1 Bayern Munich ( 1999 )
Manchester+United+2-1+Bayern+Munich+1999.jpg

2. Man City 3-2 QPR
Aguerooooooo anawapa ubingwa dakika za mwisho
re318_2012051416592754.jpg

4. Ureno Vs Uholanzi ( Kombe la Dunia 2006) Inajulikana pia kama Battle of Nuremberg
Kadi nyekundu 4 na njano 16.
default.jpg
 
Watu mna kumbukumbu haswa
 
Germany vs Italy semi final world cup 2006.....
Germany anakufa goli 2 kwa 0 ndani ya dk ya 118 na 120....

Fabio Grosso anafunga bonge la bao baada ya kupokea pande maridhawa kwa el maestro pirlo anangalia kushota anapiga kulia.

Alesandro del piero ana wamalizia wajerumani kwa goli safi baada ya counter attack iliyoanzia kwa canavaro, luca toni, gilardino na kumkuta del piero na kumgalagaza jens lehman. Hapo ndipo ndoto za wajerumani zilipoishia.

Natamani kuwawekea clip yake ila jf apps ni jipu linapokuja suala la ku-upload video

Marhabaaaaaaaaaa...
Tazama goli la pili Mtakatifu Del Piero alivocheza box to box aysee
 
FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE MWAKA 1994
Milan 4-0 Barcelona

NUSU FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE 2007
AC Milan 3-0 Manchester UTD

FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE 2007
AC Milan 2-1 Liverpool

Milan Milan solo conte
Milan Milan sempre perte...
 
Newcastle 4 Arsenal 4 febr 5 2011 Arsenal anatangulia kufunga goli zote 4 akiwapo Van parsie then newcastle wanarudisha yote Tiote akisawazisha
Hii game naikumbuka vizuri sana, ndani ya dakika 9 za mwanzo, arsenal ilikua kifua mbele kwa magoli 3-0. Van persie alikua wa moto balaa.

Goli la mwisho la Newcastle lilifungwa kwa shuti Kali sana la mita 35 la mu-ivory coast Cheikh Tiote.

Asilimia 80 ya mashabiki wa Newcastle waliondoka ndani ya nusu saa ya kipindi cha kwanza.

Hakika ilikua bonge la mechi.
 
Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Acha kabisa Dada yangu.

Nakumbuka fainali Arsenal waliingia baada ya kuwatoa Madrid Nusu fainali. Thierry Henry akipiga goli la pekee alilojipasia na kufanya arsenal kuibuka na ushindi wa 1-0 kabla ya kutinga fainali.

Ilikua mwaka 2006
 
Liverpool 5 Alaves 4 after extra time. Fainali ya UEFA CUP (EUROPA LEAGUE) 2001. Bonge la mechi!
 
1999 Bayern Munich vs.Manchester United. ..adi dakika 89 Bayern 1 dakika za nyongeza man u anachukua.ndooo
 
Back
Top Bottom