Mechi ijayo na Stellebosch Simba iweke mabeki tisa na mshambuliaji mmoja

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Huu ni ushauri tu,ukitoa kipa na namba 9 wengine wote wawe mabeki au viungo wakabaji hii ndio njia rahisi ya kutinga fainali
 
Bila ushabiki. Yanga anaweza tumia viwanja vya ugenini sana.

Simba Ni mtumiaji mzuri viwanja vya Nyumbani , Jana kafanya kosa kubwa kutofunga magoli mengi.
Simba hakuna wafungaji na hata walioko ndo hao hao, hata akiumia mmoja au kuchoka hakuna mbadala.

Mpira unadunda yaezekana kuna utofauti utatokea kwa mzee mandela.
 
Hehe! Sijawahi kupenda sana njia yakujirundika nyuma kama njia ya uchezaji ulio salama!.
Ni njia ambayo wewe unakuwa na 30% na anaekushambulia kuwa na 70% za kupata goli!.

Unapoamua kujilinda kwa kukaa nyuma unaruhusu mpira uchezwe eneo lako zaidi, hivyo fouls nyingi zitatokea upande wako, kona na aidha pia makosa ya kushika mpira ndani ya box ama kucheza mazambi ndani ya box na kusababisha penati!.. kiufupi risk huwa zinakuwa ni nyingi mno!.

Plan nzuri ni kuhakikisha eneo kubwa analochezea mpinzani ni katikati!, na si vinginevyo!.
so binafsi sikubaliani nawewe kuweka ma beki tisa nyuma heri kuweka mfumo wa 4 4 2.
 
Uko sahihi mpira uchezwe katikati hiki kitimu unaweza kukidharau ila ukienda kwa kujiamini sana kinakutoa jasho,kosa tumelifanya kufunga goli moja,atleast tungefunga nawili au matatu
 
Bila ushabiki. Yanga anaweza tumia viwanja vya ugenini sana.

Simba Ni mtumiaji mzuri viwanja vya Nyumbani , Jana kafanya kosa kubwa kutofunga magoli mengi.
Simba hakuna wafungaji na hata walioko ndo hao hao, hata akiumia mmoja au kuchoka hakuna mbadala.

Mpira unadunda yaezekana kuna utofauti utatokea kwa mzee mandela.
Uko sahihi jana bahati haikuwa yetu,tulikuwa na uwezo wa kiscore magoli zaidi ya matatu
Kwa vile ugenini sisi hatutishi,kujilinda hakukwepeki,hii timu sio ya kubeza
 
Hii ndio timu mnayosema ipo nafasi ya 4 kwa ubora Africa?
Kwa namna walivyo anzisha nyuzi nyingi za kumlaumu Kocha wao pamoja na huyo Ahoua; utagundua kabisa hii timu ipo kwenye hiyo nafasi kwa bahati mbaya tu.
 
Itoe Simba hapo iweke Azam basi mgosi
 
Hiyo ndo unakufa mapema sana lazima utajichanganya tu na ukishaanza kupigwa bao moja basi jua ushatoka tayari, kipangwe kikosi kile kile cha kwanza, mpira wenye mentality ya kudefence zaidi ugenini si mpira mzuri zama zimebadilika, utazuia Hadi lini na wewe pia magoli unayataka, Mimi naona Hawa jamaa ni kwenda nao "toe to toe" Ili na wao waonje joto ya jiwe ya kushambuliwa.

Juzi tu hapo tumeona Al Ahly walivyomshangaza Mamelodi ambaye alitarajia mwarabu atazuia mwanzo mwisho na si hivyo tu Pyramids alivyocheza na Orlando juzi naye alikuwa anakuja kweli kweli na ilibaki kidogo tu ashinde, kama unajinasibu ni timu kubwa kwanini ushadadie kudefend na mabeki Tisa kwanini na ww usipunguze threat ya kufungwa Kwa kufanya mashambulizi ya mara Kwa mara, ifike mahali tukue.
 
Well explain
 
Simba amefika hapo kwasababu ya kuwa kundi dhaifu.
 
Hehe! Sijawahi kupenda sana njia yakujirundika nyuma kama njia ya uchezaji ulio salama!.
Ni njia ambayo wewe unakuwa na 30% na anaekushambulia kuwa na 70% za kupata goli!.

Unapoamua kujilinda kwa kukaa nyuma unaruhusu mpira uchezwe eneo lako zaidi, hivyo fouls nyingi zitatokea upande wako, kona na aidha pia makosa ya kushika mpira ndani ya box ama kucheza mazambi ndani ya box na kusababisha penati!.. kiufupi risk huwa zinakuwa ni nyingi mno!.

Plan nzuri ni kuhakikisha eneo kubwa analochezea mpinzani ni katikati!, na si vinginevyo!.
so binafsi sikubaliani nawewe kuweka ma beki tisa nyuma heri kuweka mfumo wa 4 4 2.
Mfumo wa kutumia viungo wengi hua naona baadhi ya walimu hupenda sana kuutumia ili watu wamiliki mpira.

Ukimiliki mpira tu unakuwa salama ila adui akimiliki mpira unakuwa hatarini zaidi.

Ukiruhusu mashambulizi yakiwa nyumbani kwako kama ulivyosema chochote kitakukuta.

Mfumo wa fadlu sijui utakuwa upi ila ngoja tutaona hiyo tarehe 27
 
Mazuri yote ya Fadlu yatafutika kama tukitolewa na hawa jamaa
Ajipange vizuri
 
Back
Top Bottom