Awa vilaza wa umbumbuni akili zao aziko sawa, mechi iliyopita walijificha kwenye kichaka cha zolan kufanya sub, leo hii wanajificha kwenye kichaka cha okrah na walikuwa wanatamba na mgunda, niliwauliza swali uyo mgunda kakutana na yanga mechi ngapi akiwa na coast union na alikuwa anabutuliwa leo hii ndo aifunge yanga kweli? Pamoja na uchawi wa coast union lakini alikuwa anakaa sembuse leo eti ndio aifunge yanga!Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.
Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Matola mbona umeikimbia Id yako original?[emoji23]Awa vilaza wa umbumbuni akili zao aziko sawa, mechi iliyopita walijificha kwenye kichaka cha zolan kufanya sub, leo hii wanajificha kwenye kichaka cha okrah na walikuwa wanatamba na mgunda, niliwauliza swali uyo mgunda kakutana na yanga mechi ngapi akiwa na coast union na alikuwa anabutuliwa leo hii ndo aifunge yanga kweli? Pamoja na uchawi wa coast union lakini alikuwa anakaa sembuse leo eti ndio aifunge yanga!
Hawana ubongo hawa.Sasa unataka tusijadili mpira?Kama makosa yakifanyika tuna haki ya kukosao Ili next changamoto zishughulikiwe!
Timu yoyoyote ikikosa ushindi au kupoteza lazima kuwe na makosa. Kama Yanga hawajaona makosa yao hadi mechi inaisha sare basi washukuru kuwa wamepata sare.Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.
Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Unaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!Awa vilaza wa umbumbuni akili zao aziko sawa, mechi iliyopita walijificha kwenye kichaka cha zolan kufanya sub, leo hii wanajificha kwenye kichaka cha okrah na walikuwa wanatamba na mgunda, niliwauliza swali uyo mgunda kakutana na yanga mechi ngapi akiwa na coast union na alikuwa anabutuliwa leo hii ndo aifunge yanga kweli? Pamoja na uchawi wa coast union lakini alikuwa anakaa sembuse leo eti ndio aifunge yanga!
Zolan xAwa vilaza wa umbumbuni akili zao aziko sawa, mechi iliyopita walijificha kwenye kichaka cha zolan kufanya sub, leo hii wanajificha kwenye kichaka cha okrah na walikuwa wanatamba na mgunda, niliwauliza swali uyo mgunda kakutana na yanga mechi ngapi akiwa na coast union na alikuwa anabutuliwa leo hii ndo aifunge yanga kweli? Pamoja na uchawi wa coast union lakini alikuwa anakaa sembuse leo eti ndio aifunge yanga!
Timu yoyoyote ikikosa ushindi au kupoteza lazima kuwe na makosa. Kama Yanga hawajaona makosa yao hadi mechi inaisha sare basi washukuru kuwa wamepata sare.Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.
Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Mbumbumbu fc Mo leo kadro hautamuona hata twitter
Ukiwa muongo unaletewa ukweliUnaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!
Unajua maana ya kutengeneza nafasi?Bahati mbaya takwimu zako hazioneshi nafasi zilizotengenezwa!Ukiwa muongo unaletewa ukweli
Waambie watoto wenzanko maana umeandika kama vile hiyo Yanga inatokea ulaya.Simba hawatokaa waifunge tena yanga nawaambieni
Yanga kapiga on targets 6,simba 2Unaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!