Mechi iliyopita walimtaja Kocha (Zoran), leo wanamtaja Okrah

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya Ngao ya Jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions (mbadala) zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gani siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua!
 
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Awa vilaza wa umbumbuni akili zao aziko sawa, mechi iliyopita walijificha kwenye kichaka cha zolan kufanya sub, leo hii wanajificha kwenye kichaka cha okrah na walikuwa wanatamba na mgunda, niliwauliza swali uyo mgunda kakutana na yanga mechi ngapi akiwa na coast union na alikuwa anabutuliwa leo hii ndo aifunge yanga kweli? Pamoja na uchawi wa coast union lakini alikuwa anakaa sembuse leo eti ndio aifunge yanga!
 
Matola mbona umeikimbia Id yako original?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Timu yoyoyote ikikosa ushindi au kupoteza lazima kuwe na makosa. Kama Yanga hawajaona makosa yao hadi mechi inaisha sare basi washukuru kuwa wamepata sare.

Vv
 
Awa vilaza wa umbumbuni akili zao aziko sawa, mechi iliyopita walijificha kwenye kichaka cha zolan kufanya sub, leo hii wanajificha kwenye kichaka cha okrah na walikuwa wanatamba na mgunda, niliwauliza swali uyo mgunda kakutana na yanga mechi ngapi akiwa na coast union na alikuwa anabutuliwa leo hii ndo aifunge yanga kweli? Pamoja na uchawi wa coast union lakini alikuwa anakaa sembuse leo eti ndio aifunge yanga!
Unaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!
 
Zolan x
Zoran √
 
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Timu yoyoyote ikikosa ushindi au kupoteza lazima kuwe na makosa. Kama Yanga hawajaona makosa yao hadi mechi inaisha sare basi washukuru kuwa wamepata sare.

Vv
 
Unaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!
Ukiwa muongo unaletewa ukweli
 
Attachments

  • FB_IMG_1666547993660.jpg
    FB_IMG_1666547993660.jpg
    28.7 KB · Views: 1
Unaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!
Yanga kapiga on targets 6,simba 2
Simba kacheza faulo 20,kadi za njano 5
Kwa maana rahisi, yanga kafika golini kwako mara nyingi kuliko ww
Hizo clear chances nyingi umezitolea wapi
 
Back
Top Bottom