Mechi ipi bora ya Simba kimataifa

Mechi ipi bora ya Simba kimataifa

Uko sahihi kabisa. Kuna kale katabia ka kuoneana aibu kwa sababu tu ya kufanana mlengo. Na kama ndiyo unafiki wenyewe, basi nakiri na mimi kumbe ni mnafiki kwa kiasi chake.

Lakini kiukweli tujitahidi tu kutaniana kwa kipimo. Hata wale mashabiki wenzangu wa Yanga pia wabadilike. Hii mambo ya kutukanana matusi ya nguoni, kuwatukana wazazi wetu! Nadhani siyo poa hata kidogo.

Huwa napenda tuishie tu kwenye utopolo, umbumbumbu, umakolo, nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi mbavu zinaumaa.
Yaan umeandika huku machozi yana kulenga lenga, furaha za ubingwa na ujio wa DOMOLEPE kwishneyyyyy!!!

Hii baghoshaaaaaa.

Byuti byuti.
 
Unamruka Yanga mwenzio kujibu uharo unakuja kunishauri mimi wakati yeye ndo kaanzisha
Hawa nyani ni wepesi kutukana lakini wakijibiwa sawa sawa na upumbavu wao wanapiga mayowe. Angalia hata wanavyomtetea zeruzeru wao licha ya yeye mwenyewe kukiri kosa bado wanashupaza shingo kusema ameonewa.
 
Kule cairo 5 - 0
Kule congo 5- 0

Hamsa hamsa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa avic room ipi? Nikuletee maji utulize kiu yako.

Byuti byuti.
 
Kule cairo 5 - 0
Kule congo 5- 0

Hamsa hamsa
Au hapa ulikuwa kwenu shamba unaishi chumba kimoja na mifugo?
IMG-20200718-WA0002.jpg
FB_IMG_1613519164902.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa avic room ipi? Nikuletee maji utulize kiu yako.

Byuti byuti.
Paendenaje hapo ghetto kwa mugalu kwenye vyumba vya mabweni ya shule?😂😂😂

Na hivii au basiii 😂🙌🙌
 
Paendenaje hapo ghetto kwa mugalu kwenye vyumba vya mabweni ya shule?[emoji23][emoji23][emoji23]

Na hivii au basiii [emoji23][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wako kwenye Football ya Africa iliko. Mnapambana na vibaka uchwaraa huko kigamboniiiiii.

Woiiiiiiiiiih. Yakizidi muone daktareeeeeeh.

Byuti. Byuti.

Weuweeeeeeeeeeeh.
 
Uzuri mpaka highlights za magoli mliyobugizwa tunazo zote khamsa khamsa..

Haya wewe weka hizo kama zipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Bambukicha mna tabu.
Sasa unabisha hamkupigwa na waarabu? Umekuja mjini juzi waulize watopolo wenzako waliokutangulia watakusimulia bwege wewe
 
Sasa unabisha hamkupigwa na waarabu? Umekuja mjini juzi waulize watopolo wenzako waliokutangulia watakusimulia bwege wewe
Haya saea tumekuja mjini juzi
Tupe clip hizo tuzione wengine 😂

Bambukicha mna tabu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wako kwenye Football ya Africa iliko. Mnapambana na vibaka uchwaraa huko kigamboniiiiii.

Woiiiiiiiiiih. Yakizidi muone daktareeeeeeh.

Byuti. Byuti.

Weuweeeeeeeeeeeh.
Kwahiyo soka la Afrika ndio kukaa hosteli za wanafunzi kweli?

Mabingwa wote wapo kambi nchini kwao ila tu bambukicha ndio viguu na njia
Ila kuna mashabiki oya oya mna tabu 😂😂
 
Kwahiyo soka la Afrika ndio kukaa hosteli za wanafunzi kweli?

Mabingwa wote wapo kambi nchini kwao ila tu bambukicha ndio viguu na njia
Ila kuna mashabiki oya oya mna tabu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km hakuna pesa kwako, lawama ndo upeleke kwa wengineee??? Da Aziza kachuna pochi yoteee.
Na magodoro fake hayauziki, woiiiiiiiiiiiiiih

Weraaaaaaaaaah byuti byuti.
 
Si tulikubaliana hakuna pesa ya kumleta?😂😂
Mlianza na kibu vs mayele
Mpole vs mayele
Sopu vs mayele.

Kiufupi ni three suitors one husband na hii ya sasa ya wziz imekuwa ya nne

Bambukicha mnachekesha sana wasalimie huko bweni.
 
Si tulikubaliana hakuna pesa ya kumleta?[emoji23][emoji23]
Mlianza na kibu vs mayele
Mpole vs mayele
Sopu vs mayele.

Kiufupi ni three suitors one husband na hii ya sasa ya wziz imekuwa ya nne

Bambukicha mnachekesha sana wasalimie huko bweni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivuu badoooo yako pale pale. Habari kuu na Duniani kwa sasa. DJ waleteeeeeeeeh.
JamiiForums-117904405.jpg
 
Sina muda mchafu wa kuhangaika na mshamba kama wewe kama hujui kutumia hiyo smartphone yako shauri yako
Wajanja wamebuni vitu vikubwa kama melo alivyotuletea jf

Wewe mjanja hiyo smart yako umebuni nini zaidi ya kusave hayo mascreen shorts na porn.

Tulia bambukicha 😂😂
 
Back
Top Bottom